Poorest road design ever

mamanalia, unajua ni kwa nini chumba cha upasuaji ni mgonjwa na Daktari?
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa vizuri kama ungeuliza kwanini.
 
Sometimes ukinyamaza watu hawatajuwa ujinga wako. Tukikuuliza umeona barabara ngapi, utazidi kujivuwa nguo. Safari yako ya Msalala - Dar - Msalala na wewe unasema umeona barabara!!!! Kutembea gharama, ok. Google basi hapohapo ulipokaa uweze kusafiri mails lukuki!!! Everything is at your finger tips, yet una-post huu ----- kwa mbwembwe za kuwakashifu wahandisi. Tuache na BRT yetu bwana.
 
Asiye heshimu taaluma ya mwenzake bila shaka hata yake haijui. Unayofikiri wewe leo wakandarasi/waandisi walifikiri miaka mitano iliyopita. Kama wewe ni mkandarasi au muandisi basi nenda kaombe kazi hapo ili uongeze elimu yako maana utaacha kufikiri kwa kutumia upeo mdogo hivyo wa kinadharia.
 
 
Ni vema ungeenda japo south Afrika ukaona mambo yalivyo, kwa mfano unapotoka Pretoria kwenda Mphumalanga una mjini hapo katikati unaitwa Bronkhorstpruit, ukijichanganya ukashindwa kuingia hapo ujue ngoma ni mpaka Witbank ndo utapata njia ya kurudi
 

Mkuu usibeze watu usiowajua as long as jf is where we talk hiddenly, hata mie nimetembea na kufanya kazi huko nje na ninashukuru Mungu nimeguza kila bara la dunia hii aidha nilipokuwa nafanya higher degrees zangu au nilipokuwa kazini.
Hawa watu wenu mnao watetea ndo mipango yao duni imetufikisha hapa kwenye umasikini huu mzito.

Sikatai ujenzi huu, na wakazi wa dar hawawezi wote kwenda ofc zao kuona hizo picha, wao wazibandike kama walivobandika kivuko cha watu pale kimara mwisho.
Pia hatuoni umuhimu wa mradi huu kwasasa, tungetumia kwanza hizo pesa more than 200 bilion kujenga barabara za goba, tabata, makongo kwanza ili watu wapate altenative routs kabla ya kuanza huo ujenzi wao.
So, it pains as i compare to what other nations are doing.
 

wewe umetembea na kuona barabara ngapi?
 
Huyo jamaa nae ni miongoni mwao hao nn ? Dart mbovu usanii tu
 
Ni vema ungeenda japo south Afrika ukaona mambo yalivyo, kwa mfano unapotoka Pretoria kwenda Mphumalanga una mjini hapo katikati unaitwa Bronkhorstpruit, ukijichanganya ukashindwa kuingia hapo ujue ngoma ni mpaka Witbank ndo utapata njia ya kurudi

Pole, south africa is just still to do more, nenda kaone emerging economies kama singapore, malaysia, brazil uone miundo mbinu ilivo.
 
Mkuu usibeze watu usiowajua as long as jf is where we talk hiddenly,

Kaka ni bora ukaandika kiswahili kama lugha ya malkia mgogoro tungekuelewa..

Unazidi kutupa wasi wasi kwenye hizo degree zako unazodai umesomea dunia ya kwanza..

"Better to remain silent and be thought a fool than to speak out and remove all doubt"

Kwa Mtu alietembea mabara yote hawezi kushangaa bara bara iliyozibwa ili magari yasiingie hadi sehemu maalumu, huko duniani unapopaongelea ndio wanapotoka hawa wanaojenga hizi bara bara na ndio kazi zao zinazowaweka mjini, so hawabahatishi na wanajua wanachokifanya..
 

Mkuu Afrika kusini ni kosa la jinai kwa mtembea kwa miguu kukatiza express highway. Kuna ukuta mkubwa tu kati ya barabara hata gari kufanya U turn huwezi kwa kilomita kadhaa. Hii tabia kila mtu kujitengenezea zebra crossing yake imefikia pabaya hadi watu sasa wanakatiza kati kati ya round about!Wapo sahihi asilimia 100 kuweka ukuta
 
Pole, south africa is just still to do more, nenda kaone emerging economies kama singapore, malaysia, brazil uone miundo mbinu ilivo.

Kwani South si emerging economy? Unajua BRICS? unajua South Africa kwa nguvu za kiuchumi dunian ni ya ngapi?
 
picha tafadhali mkuu
 
Pole, south africa is just still to do more, nenda kaone emerging economies kama singapore, malaysia, brazil uone miundo mbinu ilivo.
Basi nenda kwa majirani zetu uone mfano Thika super highway make nayo ina kuta za kufa mtu
 

another poor design

and another one....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…