Pongezi za dhati kwa jf-mods and members(especially m.m.u forum) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pongezi za dhati kwa jf-mods and members(especially m.m.u forum)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ferds, Dec 24, 2010.

 1. F

  Ferds JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Natumai wote mu wazima wa afya njema. Wakati tunapoelekea mwishoni mwa mwaka 2010, nimeona nitoe pongezi zangu za dhati kwa wanajamii forum wote(mods &members), hakuna ubishi kuwa JF imetufungua macho, kuhusu mambo mengi sana ktk maisha yetu ya kila siku, achalia mbali maswala ya siasa, uchumi na kadhalika, lakini hasa hapa ktk forum yetu ya mapenzi mahusiano na urafiki, mimi binafsi nimejifunza mengi sana kuhusu mahusiano, mapenzi, mambo ya ndoa nk, kupitia michango&threads zenu, hivyo basi ukiachilia mbali swala la kugonga thanks kwa michango yote iliyotolewa nimeona niwashukuru kwa kipande hichi cha ujumbe kitokacho moyoni mwangu katika "EPICENTRE" ya moyo wangu,ASANTENI SANA.
  nb; Kukweli jamani kuna watu ukichilia mbali mambo mazuri ya JF, wao wanaiharibu, wanaposti threads za uzalilishaji hasa kwa jinsia ya uzao wa EVA, ukichunguza kwa undani threads hizi ni maneno ya kijiweni , mtu anayabeba anleta jamvini kwa great thinkers, just last week iliwekwa mada hapa ikawaProvoke dada zetu kama ROSE 1980, wakatumia lugha kali sana hadi pakawa tafrani humu, mimi naomba jamani tuwe tunaleta mada CONSTRUCTIVE na sio DESTRUCTIVE, kumbuka ukileta mada ya kudhalilisha wanawake hapa ni sawa unamdhalilisha ,mama yako,bibi yako, dada zako ,mkeo, demu wako nk, NAOMBENI SANA JAMANI FORUM HII IWE SEHEMU YA KUCHOTA MAUJUZI NA MAUFUNDI, MAELIMU, BURUDANI NA UPENDO WA DHATI.
  NAWATAKIENI HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA-NAWAPENDA WOTE, MWAAAAAAAAA 4U ALL
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Ferds umeniwahi sana kuitoa hii shukrani na angalizo kwa wote. Haya natumai watatekeleza na kufanyia kazi kwa yote yalioonekana mapungufu kwa namna moja ama nyingine hatuna nia mbaya bali ni kukumbushana na kuelimishana tu hapa. Sikukuu njema kwako na familia yako Mungu awabariki sana Amen. DA
   
 3. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mmmmmh, haya huku umefikaje wewe mwanamke?
   
 4. F

  Ferds JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  acha wivu wewe
   
 5. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haya tuusubiri huo mwaka mwengine tuone mali mpya za jamii forum,,,,
   
 6. F

  Ferds JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kwani leo tumegombana bibie?
   
 7. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwanini???????
   
 8. F

  Ferds JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  tUPO BARAZANI MAMAA, CHEKI PM
   
 9. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ok i will,,,
   
 10. F

  Ferds JF-Expert Member

  #10
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  iam waiting......................
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Dec 24, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Koh koh koh
   
 12. F

  Ferds JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  ngwengwe au pombe za xmas hadi huwezi kuongea
   
Loading...