PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

"Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu"

Kumradhi, maana umesema wewe sio sifia sifia, sema baai nchi imempata kiongozi, na aio viongozi maana kuna majizi mengi sana.
Ni kweli nakiri Kwamba Gwajima Ni mmoja wao..
Ila kwa wwngine Mmh siwashikii Maneno wala siwalii yamini..
Niliyemuona akifanya kazi na kuchukua Jitahada ni Gwajima
 
Hivi ndivyo Kiongozi wa serikali anapaswa kuenenda, nakupongeza Sana Dr Dorothy Gwajima na ni lazima tukutafutie Jimbo 2025

Waziri Dr Gwajima amemshukuru kwa ahsante mjumbe wa kamati kuu ya Chadema na Meya Mstaafu wa Ubungo mh Boniface Jacob kwa kumtag Baada ya kupata Taarifa ya DED kumbaka dada wa Kazi wilayani Mafia

Mawasiliano yamefanyika ukurasani X

Dunia ni Kijiji
Screenshot 2024-04-19 155702.png
 
Huyu mama Anajitambua Anajua siasa sio uaduiAnaipenda Kazi yake na Anafanya Kazi kwa weledi.
! Anajua ni nafasi ya kutumikia wananchi wote' Alafu Boni mayai.. Ana mental yake Ipo poa at least kuliko yule anajiita M3 cjui martini mtikila yeye ni Kutukana tuu hachambui hoja Anaandika kama gari imekosea break ...juzi juzi alijichanganya kwa yule kichaa wa marekani yule slim mpare ...aisee yule vidodido alimtoa nishai..mtikila.
Siasa ni sayansi
 
Bahati mbaya sana watu aina ya huyo Waziri huwa hawadumu kwenye mfumo.

Subirini mjionee siku akimgusa "asiyegusika" yeye ndiye atakaa kando.

Kingine ni ile LAW 1 ya Robert Greene kama mtaendelea kumpa maua yake wenyewe watakuwa uncomfortable.
 
Hivi ndivyo Kiongozi wa serikali anapaswa kuenenda, nakupongeza Sana Dr Dorothy Gwajima na ni lazima tukutafutie Jimbo 2025

Waziri Dr Gwajima amemshukuru kwa ahsante mjumbe wa kamati kuu ya Chadema na Meya Mstaafu wa Ubungo mh Boniface Jacob kwa kumtag Baada ya kupata Taarifa ya DED kumbaka dada wa Kazi wilayani Mafia

Mawasiliano yamefanyika ukurasani X

Dunia ni Kijiji
Umeandika vema. Umekosea padogo tu....akili zoteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ziko kwenye uchaguzi. Hulka ya CCM itawapeleka kuzimu , motoni, jahanamu kwa daima kufikiri kufanya dhuluma ya uchaguzi!

Erythrocyte take note of this, hawa si wema chaguzi zijazo, wameshapanga nani achukue wapi. JF rules tunaziheshimu short of that tunawajua wengi tu humu!
 
Back
Top Bottom