Pongezi kwako Vincent Nyerere!

Vicent Nyerere
Take5logo.gif
 
vicenti tunamuhitaji ktk chama cha baba yake mkubwa, tutatumia mbinu yoyote kabla ya 2015 awe zizini

Mna wazimu!!!!!!!!! Chama cha Baba mkubwa wake siyo hicho cha Magamba. Aliacha chama kizuri sasa kimebaki ni kilabu ya wahuni, wezi, wauaji, wazinzi, walaghai, walafi, na kila aina ya uchafu. Ashakum si matusi bakini na mfu wenu na mmzike wenyewe kamanda haji ng'o. Mnajidanganya mchana, ningekuwa jirani ningekupa ngumi ya uso mwizi mkubwa!!
 
Chama cha matuc na mipasho

Chama cha mapanya!
 
KATIKA YEYE HUYU VINCENTI, BABA WA TAIFA KAZALIWA UPYA KUJA KULIKOMBOA TAIFA LA TANZANIA KUONDOKANA NA MAFISADI NDANI YA CCM

WaTanzania aminini kweli ninawaambieni hapa,
0digg

arumeru-nassari.jpg

katika yeye huyu kijana wenu mdogo tu, Mhe Vincent Nyerere, ni kweli kwamba Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kazaliwa upya katikati yetu kuja kutukomboa kuondokana na MAFISADI ndani ya CCM.

Na kazi hiyo ya ukombozi tayari kaianza pale Arumeru Mashariki na mwangwi wake ukawa umetikisa hadi miji ya Mwanza, Songea, Mbeya ...

... na hivi sasa salamu hizo murua CHADEMA tunakusudia kuwafikishieni kila mmoja katika kila wilaya taifa hili.

Kama ulikuwa haujajiunga na CHADEMA basi kafanye hivyo sasa hivi ili usije ukaachwa nyuma na hili jahazi letu la ukombozi wa taifa letu.

kwetu twamjua kwa jina la jembe! uliza ccm musoma watakwambia! sio maneno tu ni anatenda kazi yake vilivyo na ipaswavyo!
 
Vicent bado anayo kazi kubwa ya kufanya. Hapa majuzi-kati alituahidi sisi wakazi wa Mugumu (Serengeti) kwamba atakuwa Mbunge wetu maana Mbunge aliyepo atokanaye na Chama Cha Magamba yuko usingizini kama Wassira wa Bunda. Sasa ndugu mbona ulikwenda jumla? Kwa nini msirudi na wapiganaji wenzako mje tufungue matawi ya CDM kuanzia Machochwe, Ngarawani, Nyamoko, Runga'bure, Musati Kenyana, Mokibau, Majimoto, Busawe, Borenga, Bwitengi, Fort-Ikoma, Natta, Issenye na Mosongo? Njoonoi haraka Bwana tumalize kazi tusije kuwafananisha na hiki Chama Cha Magamba cha kina Chandi na Kebwe! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh!:yo:
 
Hayo majina mbavu sina hahahahahahahahahahah

Nyie ndo mna kazi kubwa zaidi kwa kosa la kuchagua uyo mbunge aliyelala.
Msirudie tena makosa.
 
Back
Top Bottom