Pongezi kwako Vincent Nyerere!

Pongezi kwako Vincent Nyerere!

cdm ni moto, kila upande wa nchi hii kuna majembe ya uhakika kila mmoja ana sifa ya ziada kama tulivyoona arumeru, hata hivyo makamanda wengine walikuwa wanahangaika na kesi zao, sipati picha wangekuwapo wote ingekuwa zaidi ya hapo!!!
 
Alisema Nape na ccm yake wanaishi kwa (ARVs) yaani matumaini ya kutumia rushwa katika uchaguzi wa Arumeru.
Nakumbuka Nape aliingia kichwa kichwa akapewa za uso kuwa anafanyia kampeni Dar wakati uwanja ni Arumeru ni sawa na kuishi kwa matumaini Nape hakujibu.
 
Nakumbuka Nape aliingia kichwa kichwa akapewa za uso kuwa anafanyia kampeni Dar wakati uwanja ni Arumeru ni sawa na kuishi kwa matumaini Nape hakujibu.

Nyerere ni mzee wa swaga! Napenda sana mwenendo wake kisiasa. Ni kiongozi mzuri!
 
m happy that ur have dared to transform pepoz mind that umelelewa na mwalimu na umefundwa vyema na mwalimu that why u beleve in rebel as the door of change as your dady did coz he even reach a point of nominating chadema as the upcoming tanzanian hope......futhermore u dared to make tanzanian know the route course of the death of our everlast father of nation.....big up bro...u hv a long way what i cana advise u is that try to follow the feet of ur dady that ondokana na makundi yatakayokuchafua....remain to be u always....go for high studies since m sure u deserve to be our national leader in future
 
Tupo pamoja Kamanda Vincent Nyerere!
 
Pongezi za dhati zimwendee Kampeni manager wa chadema Arumeru mashariki ndugu Vincent Kiboko Nyerere kwa kazi nzuri! Mbinu zako hatimaye zimezaa matunda! Viva Chadema!

1. Kuwataka wananchi kuhudhuria mikutano ya CCM kusikiliza kama wana sera mpya miaka 50 baada ya uhuru.
2. kushikilia msimamo wa kuendesha siasa za kistaraabu pamoja na kuwa walitukanwa sana
3. kukubali kusitisha mashambulizi dhidi ya ***** BMW
 
Kuna mdau mmoja alikuja hapa akiwashatumu cdm kutokuwa makini katika kuwatafuta campen managers, aje atupe ,atokeo yake au lawama zake
 
Zaidi ya hongera alinisaidia kuwa na uhakika kuwa ni kweli nkapa alishiriki kumuua baba wa taifa letu. hapo ndipo nilipata nilichokingojea miaka mingi. hongera vicent.
 
1. Kuwataka wananchi kuhudhuria mikutano ya CCM kusikiliza kama wana sera mpya miaka 50 baada ya uhuru.
2. kushikilia msimamo wa kuendesha siasa za kistaraabu pamoja na kuwa walitukanwa sana
3. kukubali kusitisha mashambulizi dhidi ya ***** BMW

Haswaaaa! Jamaa ni SURURU LA UKWELI. Limemng'oa Anko Ben kiasi kumfanya ashindwe kuondoka na "Mbunge wake" Sioi.
 
Big up Vincet Nyerere.

Umemtoa KAMASI MKAPA na CCM yake na Umeiinua CHADEMA huko Arumeru. Unastahili pongezi za dhati.

God Bless you.
 
vicenti tunamuhitaji ktk chama cha baba yake mkubwa, tutatumia mbinu yoyote kabla ya 2015 awe zizini
 
Back
Top Bottom