Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 529
- 123
Mr huyu, namuona katika taarifa mbalimbali za habari, akifanya kazi yake kwa ufasaha na weledi katika kulinda mazingira Tz.
Amekuwa akifunga viwanda vingi vinavyokiuka sheria na taratibu za uendeshaji kimazingira nchini
Zaidi ni jasili sana katika maamuzi,nimemuona sasa ITV kwa issue ya kiwanda cha punda Dodoma kamkolomea mmiliki kiume.
Hongera sana kaka kwa kazi safi, na pongezi nyingi kwako...