Mh.zitto kwabwe anastahiri kupewa pongezi kwa kazi anyo ifanya bungeni.
Mh.zitto kwabwe anastahiri kupewa pongezi kwa kazi anyo ifanya bungeni.
thread ya kijinga
Niko pamoja na wewe mleta mada,
Watu hawafuatilii habari halafu wanaanza kuuliza anachofanya hapa jukwaani.Nilitarajia kila mtu angeandika point ya jambo analofanya Zitto linalomfurahisha.
Kwa hakika anafanya mambo mengi sana kwa hii nchi nikitulia nitayaandika hapa. MUNGU AMBARIKI SANA ZITTO, NA MAADUI WAKE WOTE WASHINDWE
punguza lugha zisizofaa we dada maana nimeona post zako zaidi ya tatu unaandika lugha zisizostahili, Uungwana na vitendo
Una jua NICE usikurupuke kuwalaumu waliomkosoa mtoa hoja...Mimi nafikiri hoja nzuri au mtu anapoelezea kitu lazima aweke mifano ndio inaleta points. Sasa usimtetee Mleta hoja tu bila kufikiri
Mimi siwaungi kwa asilimia mia walio kosoa ila nataka nichangie kama ifatavyo
1. Ni kweli Zitto ni mchapa kazi mzuri ni mdadidi....hilo hatukatai
2. Tatizo lake ni mnafiki kwa asilimia nyingi....Kwani baadhi ya mambo huyafanya kwa nia ya kujijenga kisiasa yaani kwake ni bora ashirikiane na mafisadi wa SISIEM kama tu watamjenga kisiasa. Yupo radhi atoe siri za CDM kwa SISIEM ili kutaka umaarufu
3. Zito wa Sasa si yule wa mwanzo. sasa hivi mafisadi washamtia kiganjani....(Mnafiki!!!)
4. Pamoja na kumpa sifa SIMUAMINI ZITTO Kabisa siku hizi
5. Baadhi ya migogoro mingi ya CDM yeye ndiye source
6. AKILI ZAKO CHANGANYA NA ZAKE!!!?
3.