Hayo ma basi ya kilimanjaro hayakimbii Tunduma ni mbali na abiria ni wafanya biashara,hivyo aachiwe NEW FORCE peke yake hiyo njia maana anapeleka bus 4 kila siku na ABOOD kazoea njia hiyo
Kweli walikuwa na mabasi yao marefu double diff yakuwa moto mwendo mdundo.Happy nation ilikuwa ikiongoza kwa mwendo wakifuatia Kilimanjaro, sasa vin'gamuzi ushindani haupo ni mwendo was Kobe.Happy nation zilikuwa zinaingia saa Tisa -kumi mbeya.
Nadhani huenda umechanganya kidogo Mkuu
Sawaya ni jina la koo la kichaga eneo la juu kidogo ya Shule ya secondary Marangu na mmiliki wa mabasi hayo ya kilimanjaro ni kutokaa ukoo wa kina Towo kabla hujafika marangu mtoni