Pongezi kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini

Kwe
Hiyo route ya hayo mabasi ilikuwepo huko sema kuna kipindi kampuni iliyumba wakasimama.
Kweli walikuwa na mabasi yao marefu double diff yakuwa moto mwendo mdundo.Happy nation ilikuwa ikiongoza kwa mwendo wakifuatia Kilimanjaro, sasa vin'gamuzi ushindani haupo ni mwendo was Kobe.Happy nation zilikuwa zinaingia saa Tisa -kumi mbeya.
 
Yule kijana hajui mambo ya usafirishaji wa abilia au mabasi.
Ati Marcopolo itachakaa!!!
Lakin Zhoutong hazichakai.
Gari zinaenda Dar- Bukoba Dar lux full lux,polo na zinadunda tu
 
Kwani hizo KLM express si ndio zilikua zinaitwa Sawaya enzi hizo? Na mmiliki wa sasa mbona wanamuita Sawaya pia?
Nadhani huenda umechanganya kidogo Mkuu
Sawaya ni jina la koo la kichaga eneo la juu kidogo ya Shule ya secondary Marangu na mmiliki wa mabasi hayo ya kilimanjaro ni kutokaa ukoo wa kina Towo kabla hujafika marangu mtoni
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom