Nyanda za Juu Kusini inaongoza Tanzania kwa watu wake kuwa na mapato makubwa(Per Capita Income) Kasoro Mkoa wa Rukwa, Kaskazini inafuata

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,110
49,826
Kwa mujibu wa National Bureau of Statistics,Mikoa ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini ya Mbeya,Iringa,Ruvuma na Njombe ndio inaongoza Tanzania kwa kuwa na watu wenye mapato Makubwa kushinda Mikoa mingine yote Tanzania kasoro Mkoa wa Rukwa.Nyanda za Juu Kusini inazidiwa na Dar tuu.

Kwenye Mikoa 10 Inayoongoza Kwa GDP per Capita Income,

1.Nyanza za Juu Kusini Mikoa -4
(Iringa,Mbeya,Njombe,Ruvuma)

2.Kanda ya Kaskazini Mikoa-4
(Kilimanjaro, Arusha,Manyara,Tanga)

3.Kanda ya Mashariki na Mkoa-1
(Dar es Salaam)

4.Kanda ya Ziwa Mkoa 1
(Mwanza)

5Kanda ya Kusini,Kanda ya Kati na Kanda ya Magharibi Mikoa-0

Hivyo basi Kwa Kufuata Mpangilio wa Kipato/Regional Per Capita Income List imekaa hivi:-

1.Dar (5,392,046)
2.Iringa (4,492,839)
3.Kilimanjaro (4,074,022)
4.Mbeya (4,055,102)
5.Njombe (3,476,147)
6.Ruvuma (3,458,329)
7.Arusha (3,395,577)
8.Mwanza (3,301,349)
9.Manyara (3,059,208)
10.Tanga (3,028,018)

My Take
Licha ya Kanda ya Ziwa Kukaa migodi ya Dhahabu ila Haiwanufaishi Watu wake zaidi ya Wazungu.

Hivyo basi napendekeza Sheria ya Serikali za Mitaa iboreshwe zaidi ili tuimalishe Ugatuaji wa Madaraka Kwa kuanzishe Utawala wa Kikanda Ili kuleta ushindani,Tija na kuepusha mgawanyo usio sawa wa Rasilimali.

Credit NBS,Tanzania in Figures 2022.(Mods msiunganishe Uzi una maudhi tofauti).

View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1712122817989185938?t=tqREV3t-EiJZXfFQV3k8xg&s=19
 
Mkitaka Maisha nendeni Nyanda za Juu Kusini, Kaskazini na Dar ila kama mnataka tabu nendeni Mwanza,Dodoma, Tabora au Mtwara Mikdde

Vinara uzalishaji wa mazao ya Nafaka Tanzania

Ruvuma
Rukwa
Mbeya
 
Kwa mujibu wa National Bureau of Statistics,Mikoa ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini ya Mbeya,Iringa,Ruvuma na Njombe ndio inaongoza Tanzania kwa kuwa na watu wenye mapato Makubwa kushinda Mikoa mingine yote Tanzania kasoro Mkoa wa Rukwa.Nyanda za Juu Kusini inazidiwa na Dar tuu.

Kwenye Mikoa 10 Inayoongoza Kwa GDP per Capita Income,

1.Nyanza za Juu Kusini Mikoa -4
(Iringa,Mbeya,Njombe,Ruvuma)

2.Kanda ya Kaskazini Mikoa-4
(Kilimanjaro, Arusha,Manyara,Tanga)

3.Kanda ya Mashariki na Mkoa-1
(Dar es Salaam)

4.Kanda ya Ziwa Mkoa 1
(Mwanza)

5Kanda ya Kusini,Kanda ya Kati na Kanda ya Magharibi Mikoa-0

Hivyo basi Kwa Kufuata Mpangilio wa Kipato/Regional Per Capita Income List imekaa hivi:-

1.Dar (5,392,046)
2.Iringa (4,492,839)
3.Kilimanjaro (4,074,022)
4.Mbeya (4,055,102)
5.Njombe (3,476,147)
6.Ruvuma (3,458,329)
7.Arusha (3,395,577)
8.Mwanza (3,301,349)
9.Manyara (3,059,208)
10.Tanga (3,028,018)

My Take
Licha ya Kanda ya Ziwa Kukaa migodi ya Dhahabu ila Haiwanufaishi Watu wake zaidi ya Wazungu.

Hivyo basi napendekeza Sheria ya Serikali za Mitaa iboreshwe zaidi ili tuimalishe Ugatuaji wa Madaraka Kwa kuanzishe Utawala wa Kikanda Ili kuleta ushindani,Tija na kuepusha mgawanyo usio sawa wa Rasilimali.

Credit NBS,Tanzania in Figures 2022.(Mods msiunganishe Uzi una maudhi tofauti).View attachment 2712507
Ungejiuliza hata hao wenye kumiliki huo uchumi ni akina nani ndio uje na hilo jibu la jumla.
 
Note
Screenshot_20230809-133448~2.jpg
 
Back
Top Bottom