Pongezi kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini

Naam mzee sawaya Ni mkongwe wa mabasi now kashusha Marcopolo mpya Kama 30 kwa mpigo
 
Nilipokuwa Tz nilipata shida sn route ya Arusha-Mbeya hakuna gari nzuri luxury ya uhakika.Pia hili waliangalie.Magari yanayopita huko ni ya hovyo kabisa
Hiyo njia ni ndefu gari ya luxury itachakaa haraka hiyo njia Ni nzuri kwa Scania n'a Marcopolo
 
Hayo ma basi ya kilimanjaro hayakimbii Tunduma ni mbali na abiria ni wafanya biashara,hivyo aachiwe NEW FORCE peke yake hiyo njia maana anapeleka bus 4 kila siku na ABOOD kazoea njia hiyo
 
Hao route ilkuwepo nakumbuka mabus yao yalikuwa na rangi ya kijani na nyeusi flani yalifululiza sana kupata ajali enzi hizo wakasitisha route za uko
 
Ana mjengo upo kushoto pale kabla hujafika marangu mtoni ni nomaaa
Nadhani huenda umechanganya kidogo Mkuu
Sawaya ni jina la koo la kichaga eneo la juu kidogo ya Shule ya secondary Marangu na mmiliki wa mabasi hayo ya kilimanjaro ni kutokaa ukoo wa kina Towo kabla hujafika marangu mtoni
 
Moro arusha kupitia chalinze au maana bm na abood hawashikiki iyo njia
 
Hayo ma basi ya kilimanjaro hayakimbii Tunduma ni mbali na abiria ni wafanya biashara,hivyo aachiwe NEW FORCE peke yake hiyo njia maana anapeleka bus 4 kila siku na ABOOD kazoea njia hiyo

Usimsahau na Majinja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…