Pongezi kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini

SI HABARI MPYA HII.
2000-2001 NDIYO ILIKUWA MARA YA MWISHO KWA HIZI BASI KUKANYAGA MBEYA ILIPOGEUZA TO DAR IKABAKI STORY.

Nafaham mshindani wake kipindo hicho alikuwa Scandinavia Express ila ukwasi uliwasumbua wakachemka.

Juzi juzi walianza route ya Moro-Arusha mara paaa wamechomoa, Ukwasi huo.

NB. KLM Biashara ya mabasi mnaifaham so muwe na subra kwenye njia mpya.
Naam mzee sawaya Ni mkongwe wa mabasi now kashusha Marcopolo mpya Kama 30 kwa mpigo
 
Nilipokuwa Tz nilipata shida sn route ya Arusha-Mbeya hakuna gari nzuri luxury ya uhakika.Pia hili waliangalie.Magari yanayopita huko ni ya hovyo kabisa
Hiyo njia ni ndefu gari ya luxury itachakaa haraka hiyo njia Ni nzuri kwa Scania n'a Marcopolo
 
Salam kwenu Wakuu.

Pongezi hizi ni kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini(MBEYA).
Nimeona Bango wakitangaza ku launch safari zao za Mbeya
Nadhan wataleta ushindani kwa baadhi ya kampuni hivyo hudumu huenda zikaboreka.

Ushauri kwao, hawa jamaa wana gari nzuri ila shida wana Makondakta wao Madada jeuri sana, angalieni watu smart.

Note: sina uhusiano na hawa Jamaa ila napenda tu walivyo na Gari nzuri, sikuwahi kusikia klm imelaza watu njian.
Hayo ma basi ya kilimanjaro hayakimbii Tunduma ni mbali na abiria ni wafanya biashara,hivyo aachiwe NEW FORCE peke yake hiyo njia maana anapeleka bus 4 kila siku na ABOOD kazoea njia hiyo
 
Hao route ilkuwepo nakumbuka mabus yao yalikuwa na rangi ya kijani na nyeusi flani yalifululiza sana kupata ajali enzi hizo wakasitisha route za uko
 
Ana mjengo upo kushoto pale kabla hujafika marangu mtoni ni nomaaa
Nadhani huenda umechanganya kidogo Mkuu
Sawaya ni jina la koo la kichaga eneo la juu kidogo ya Shule ya secondary Marangu na mmiliki wa mabasi hayo ya kilimanjaro ni kutokaa ukoo wa kina Towo kabla hujafika marangu mtoni
 
Moro arusha kupitia chalinze au maana bm na abood hawashikiki iyo njia
SI HABARI MPYA HII.
2000-2001 NDIYO ILIKUWA MARA YA MWISHO KWA HIZI BASI KUKANYAGA MBEYA ILIPOGEUZA TO DAR IKABAKI STORY.

Nafaham mshindani wake kipindo hicho alikuwa Scandinavia Express ila ukwasi uliwasumbua wakachemka.

Juzi juzi walianza route ya Moro-Arusha mara paaa wamechomoa, Ukwasi huo.

NB. KLM Biashara ya mabasi mnaifaham so muwe na subra kwenye njia mpya.
 
Hayo ma basi ya kilimanjaro hayakimbii Tunduma ni mbali na abiria ni wafanya biashara,hivyo aachiwe NEW FORCE peke yake hiyo njia maana anapeleka bus 4 kila siku na ABOOD kazoea njia hiyo

Usimsahau na Majinja.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom