Salam kwenu Wakuu.
Pongezi hizi ni kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini(MBEYA).
Nimeona Bango wakitangaza ku launch safari zao za Mbeya
Nadhan wataleta ushindani kwa baadhi ya kampuni hivyo hudumu huenda zikaboreka.
Ushauri kwao, hawa jamaa wana gari nzuri ila shida wana Makondakta wao Madada jeuri sana, angalieni watu smart.
Note: sina uhusiano na hawa Jamaa ila napenda tu walivyo na Gari nzuri, sikuwahi kusikia klm imelaza watu njian.
Wakati huo yalijulikana kwa jina la SawayaHiyo route ya hayo mabasi ilikuwepo huko sema kuna kipindi kampuni iliyumba wakasimama.
Hapana hivyo hivyo Kilimanjaro yalikuwa na rangi ya kijani na nyeusi kwenye 2004 hivi.Wakati huo yalijulikana kwa jina la Sawaya
Sawaya ni mmiliki..ila mabasi yao yaliwahi kuhudumu njia hiyo ya Mbeya,Tukuyu na Songea, kipindi kile yalikuwa na rangi ya kijaniWakati huo yalijulikana kwa jina la Sawaya
Mabasi yaliandikwa Kilimanjaro ila bosi ndio walimwita jina hilo ulilolitajaWakati huo yalijulikana kwa jina la Sawaya
2002-2006 na waliishika sana njia wakishindana na happy nation ila yy Kilimanjaro alienda mpaka Songea na Tukuyu wakati happy nation aliishia Mbeya pekeeHapana hivyo hivyo Kilimanjaro yalikuwa na rangi ya kijani na nyeusi kwenye 2004 hivi.
Hizi basi zilikuwa zinakimbia Sana dar to mbeya ,safari zangu zote nilikuwa natumia bas hizi ,ila toka iliyoanguka pale igawa mwaka 2004 ndio ikawa mwisho kupanda na ndio miaka inayofuata ikapotea kabisa ruti za mbeyaHapana hivyo hivyo Kilimanjaro yalikuwa na rangi ya kijani na nyeusi kwenye 2004 hivi.
Aiseee tunashukuru sana. Kwa niaba ya KLM Pongezi zimeshafika. Siri moja ya mafanikio yetu tunamuweka Yesu kwanza.Salam kwenu Wakuu.
Pongezi hizi ni kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini(MBEYA).
Nimeona Bango wakitangaza ku launch safari zao za Mbeya
Nadhan wataleta ushindani kwa baadhi ya kampuni hivyo hudumu huenda zikaboreka.
Ushauri kwao, hawa jamaa wana gari nzuri ila shida wana Makondakta wao Madada jeuri sana, angalieni watu smart.
Note: sina uhusiano na hawa Jamaa ila napenda tu walivyo na Gari nzuri, sikuwahi kusikia klm imelaza watu njian.
Majaribu kutoka kwa Shetani ni ya hatarii. Usipokuwa benet na Yesu utaangamia.Hizi basi zilikuwa zinakimbia Sana dar to mbeya ,safari zangu zote nilikuwa natumia bas hizi ,ila toka iliyoanguka pale igawa mwaka 2004 ndio ikawa mwisho kupanda na ndio miaka inayofuata ikapotea kabisa ruti za mbeya
Hapana hivyo hivyo Kilimanjaro yalikuwa na rangi ya kijani na nyeusi kwenye 2004 hivi.
Ni kweli kipindi hiko nauli wanakamua 9000 Dar to Mby na chips kuku tunakula kwa buku jero pale ilula.Hizi basi zilikuwa zinakimbia Sana dar to mbeya ,safari zangu zote nilikuwa natumia bas hizi ,ila toka iliyoanguka pale igawa mwaka 2004 ndio ikawa mwisho kupanda na ndio miaka inayofuata ikapotea kabisa ruti za mbeya
Dar express ndo hana mchina hata moja, KLM wana YUTONG mingi tu.Sawaya ni mmiliki..ila mabasi yao yaliwahi kuhudumu njia hiyo ya Mbeya,Tukuyu na Songea, kipindi kile yalikuwa na rangi ya kijani
Ila ni kampuni pekee iliyobaki na gari nyingi kama sio zote za aina ya Scania