Pongezi kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini

Heron

JF-Expert Member
Oct 4, 2013
1,947
1,797
Salam kwenu Wakuu.

Pongezi hizi ni kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini(MBEYA).
Nimeona Bango wakitangaza ku launch safari zao za Mbeya
Nadhan wataleta ushindani kwa baadhi ya kampuni hivyo hudumu huenda zikaboreka.

Ushauri kwao, hawa jamaa wana gari nzuri ila shida wana Makondakta wao Madada jeuri sana, angalieni watu smart.

Note: sina uhusiano na hawa Jamaa ila napenda tu walivyo na Gari nzuri, sikuwahi kusikia klm imelaza watu njian.
 
Sijaelewa mleta mada unaposema konda wa gari ya safari ndefu jeuri kwa abiria kivipi? Sababu ukikata tiketi ya Basi la safari ndefu uhusiano wako na konda unakuwa haupo.Wewe no kukaa kwenye kiti chako basi .Huo ujeuri na konda untokea wapi
 
Salam kwenu Wakuu.

Pongezi hizi ni kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini(MBEYA).
Nimeona Bango wakitangaza ku launch safari zao za Mbeya
Nadhan wataleta ushindani kwa baadhi ya kampuni hivyo hudumu huenda zikaboreka.

Ushauri kwao, hawa jamaa wana gari nzuri ila shida wana Makondakta wao Madada jeuri sana, angalieni watu smart.

Note: sina uhusiano na hawa Jamaa ila napenda tu walivyo na Gari nzuri, sikuwahi kusikia klm imelaza watu njian.

Weeee thubutu
Kilimanjaro ilifia Kibaha pale halafu nilikua na mizigo na watoto

Nilikasirika siku ile kwangu limebaki kuwa gari la mizigo tu.
 
Hapana hivyo hivyo Kilimanjaro yalikuwa na rangi ya kijani na nyeusi kwenye 2004 hivi.
Hizi basi zilikuwa zinakimbia Sana dar to mbeya ,safari zangu zote nilikuwa natumia bas hizi ,ila toka iliyoanguka pale igawa mwaka 2004 ndio ikawa mwisho kupanda na ndio miaka inayofuata ikapotea kabisa ruti za mbeya
 
Salam kwenu Wakuu.

Pongezi hizi ni kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini(MBEYA).
Nimeona Bango wakitangaza ku launch safari zao za Mbeya
Nadhan wataleta ushindani kwa baadhi ya kampuni hivyo hudumu huenda zikaboreka.

Ushauri kwao, hawa jamaa wana gari nzuri ila shida wana Makondakta wao Madada jeuri sana, angalieni watu smart.

Note: sina uhusiano na hawa Jamaa ila napenda tu walivyo na Gari nzuri, sikuwahi kusikia klm imelaza watu njian.
Aiseee tunashukuru sana. Kwa niaba ya KLM Pongezi zimeshafika. Siri moja ya mafanikio yetu tunamuweka Yesu kwanza.

If you don't love Jesus, who the hell will you love!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom