Hao wanaendesha pikipiki Cape to Cairo utalinganisha na hawa ngozi nyeusi? Safety measures vipi?Wengine wamekufa kwa ajali za ndege, wengine ajali za meli, wengine ajali za treni, wengine ajali za trekta wengine ajali za baiskeli, wengine wamekufa kwa kutembea kwa miguu.
Je upumbavu wa hawa marehemu wa SUA uko wapi? Kuna watu wana ride pikipiki toka Johansberg mpaka Cairo iweje hawa wa SUA Karatu waitwe wajinga?