Pongezi kwa Chuo Kikuu SUA

Wengine wamekufa kwa ajali za ndege, wengine ajali za meli, wengine ajali za treni, wengine ajali za trekta wengine ajali za baiskeli, wengine wamekufa kwa kutembea kwa miguu.

Je upumbavu wa hawa marehemu wa SUA uko wapi? Kuna watu wana ride pikipiki toka Johansberg mpaka Cairo iweje hawa wa SUA Karatu waitwe wajinga?
Hao wanaendesha pikipiki Cape to Cairo utalinganisha na hawa ngozi nyeusi? Safety measures vipi?
 
Kwa tabia za ovyo sikubaliani nawe mkuu, ebu fikiria huyo mmoja ana miaka 24 na kwenye kozi yake ashapiga miaka 4 ndo alikuwa anaelekea wa 5 na kozi enyewe ni BVM, taaluma ngumu kuliko udaktari wa binadamu, waulize wanaojua watakwambia km kuna mda wa kufanya starehe kwenye, na kwao ni maskini kweli

Huyo wa pili nimemfundsha O level na huwa anakuja kutusalimu akirudi likizo, dogo ni fighter tangu yuko shule, analima anafuga na anapiga boda, hadi alikuwa anafanya biasharavya kukopesha watu pesa kwa riba, inshort alikuwa mchumi kweli, inasemekana ameacha magunia mengi ya mazao ndani fedha nyingi benki.

Basi tu siku ikifika utaanguka hata kitandani na utaondoka.
BVM isikie kwenye redio hivyo hivyo, kozi ngumu sana.
SUA ndio chuo chenye tija kuliko vyote nchi hii, sisi vyuo vingine vinafundisha sheria za madini alafu wakienda mahakama za kimataifa wanatetea nchi kwa kusema you know I didn't wake up well today
 
Kwanza nitoe pole kwa wote walioguswa na vifo vya vijana wetu.

Zaidi nitoe pongezi kwa Uongozi, wakufunzi, wanachuo na jumuiya yote ya Chuo kikuu cha kilimo Sokoine Morogoro.

Kusafirisha maiti wawili kutoka Morogoro hadi Arusha kugharamia sanda, jeneza kutuma wawakilishi, bado mkatoa na fedha za rambi rambi juu, hakika huu ni wema mkuu.

Vijana wetu tumewapumzisha wote leo hapa Karatu.

Mungu awabariki mno
Mbona.vyuo vyote wanafanya hivyo
 
BVM isikie kwenye redio hivyo hivyo, kozi ngumu sana.
SUA ndio chuo chenye tija kuliko vyote nchi hii, sisi vyuo vingine vinafundisha sheria za madini alafu wakienda mahakama za kimataifa wanatetea nchi kwa kusema you know I didn't wake up well today
Ndio maana nkamjibu huyo mdau kwa umri wa miaka 24 huyo dogo asingeweza kufikisha miaka minne chuoni kwa hiyo course angekuwa mvuta bangi.

Nina rafiki angu alianza hiyo kozi akafeli mara 3 mfululizo ikabidi abadilivl kozi kabisa.
 
Nimemkataza mdogo wangu asiisome, alikuwa aianze mwaka huu nikamwambia sumu haijaribiwi kwa kuonjwa.
 
Kwa tabia za ovyo sikubaliani nawe mkuu, ebu fikiria huyo mmoja ana miaka 24 na kwenye kozi yake ashapiga miaka 4 ndo alikuwa anaelekea wa 5 na kozi enyewe ni BVM, taaluma ngumu kuliko udaktari wa binadamu, waulize wanaojua watakwambia km kuna mda wa kufanya starehe kwenye, na kwao ni maskini kweli

Huyo wa pili nimemfundsha O level na huwa anakuja kutusalimu akirudi likizo, dogo ni fighter tangu yuko shule, analima anafuga na anapiga boda, hadi alikuwa anafanya biasharavya kukopesha watu pesa kwa riba, inshort alikuwa mchumi kweli, inasemekana ameacha magunia mengi ya mazao ndani fedha nyingi benki.

Basi tu siku ikifika utaanguka hata kitandani na utaondoka.
How come waendeshe pikipiki ZA KICHINA na Mara Nyingi no Services to Moro Karatu??? Na wakati Barabara ina Malori na Buses nyingi na Madereva vichaa??? Mara nyingi Mungu tunamsingizia na sio kila ajali aina kinga. Kama ni Uchumi hawa Madogo wamepitiliza.
 
Hawa vijana walikuwa wapumbavu sana, mambo ya kuiga iga na bangi za vijana wa Arusha zimewaharibu na mwishowe ni msiba na vilio kwa wazazi wao

Unataka kutoka na pikipiki SUA- Morogoro mpaka karatu - Arusha tena mbovu kwa mwendo ambao hauheshimu barabara?

Kuna Vifo vingine vya kujitakia, Hawa vijana wamekiita kifo na wamekipata. Mimi ni mtu wa mwanzo kufika eneo la tukio kwa mwendo lazma tu lolote lingewatokea

Japo sitakiwi kuhukumu ila Hawa wamejitakia
Tena Pikipiki ya Kichina😭 Ingekuwa ya mjapani au Mjerumani sawa ili hizi Sun lung sijui Houjue hapana kwa kweli
 
Wengine wamekufa kwa ajali za ndege, wengine ajali za meli, wengine ajali za treni, wengine ajali za trekta wengine ajali za baiskeli, wengine wamekufa kwa kutembea kwa miguu.

Je upumbavu wa hawa marehemu wa SUA uko wapi? Kuna watu wana ride pikipiki toka Johansberg mpaka Cairo iweje hawa wa SUA Karatu waitwe wajinga?
Pikipiki made in China na pengine ata Service aikufanyiwa uende nayo more than 600+KM?? No way! Mara nyingi Mungu tunamsingizia
 
Hawa vijana walikuwa wapumbavu sana, mambo ya kuiga iga na bangi za vijana wa Arusha zimewaharibu na mwishowe ni msiba na vilio kwa wazazi wao

Unataka kutoka na pikipiki SUA- Morogoro mpaka karatu - Arusha tena mbovu kwa mwendo ambao hauheshimu barabara?

Kuna Vifo vingine vya kujitakia, Hawa vijana wamekiita kifo na wamekipata. Mimi ni mtu wa mwanzo kufika eneo la tukio kwa mwendo lazma tu lolote lingewatokea

Japo sitakiwi kuhukumu ila Hawa wamejitakia
Mkuu hii imetokea wapi?
 
Ni sahihi. Walikuwa na pikipiki gani na kweli wana makosa sana. Yaani usafiri na boda toka Morogoro to Dodoma then to Manyara/Arusha?
 
Back
Top Bottom