Pongezi: KIKWETE azindua GARAGE ya Ndege

Hivi ni lini tutapata Rais anaelewa kwamba mwanasiasa hatakiwi kukata utepe wa kuzindua mradi wa mtu?

Hivi unaweza kusikia kwa mfano Obama kaenda kuzindua jengo la DELTA Airlines?

Hakuna mwanasiasa aliyewahi kupata exposure ya kusafiri katika historia ya Tanzania kama Kikwete, toka akiwa waziri mpaka Rais, lakini mbona mwenzetu hajifunzi mawili matatu kuhusu misingi ya utawala bora ya huko anakopenda kutembelea?

alishawahi kuzindua hotel huko arusha baada ya siku mbili uzio wake ukabomolewa kwa kuwa ulijengwa kwenye hifadhi ya barabara!muda si mrefu utasikia karakana hiyo haikufuata utaratibu kuwepo hapo.
 
hii mivie jana sikuielewa kabisa.

Unavungua karakana ya business competitor wako wakati wewe hata kunguru huna?

Sikuelewa kabisa jana.
 
Back
Top Bottom