Ponda apinga Mpango wa Serikali kuweka ulinzi misikitini

Ponda apinga Mpango wa Serikali kuweka ulinzi misikitini

Duh wewe cjui upo dunia ya wapi.KWANI JK HAJARUHUSU MAHAKAMA YA KADHI?MBONA ALISHARUHUSU NA WAISLAMU WENYEWE WAKAANZA UGOMVI JUU YA UTEUZI NA KUMTAMBUA KADHI AU WEWE UNAJIFANYA KUJAZA PAMBA MASIKIONI.WANACHOTAKA WAISLAMU NI MAHAKAMA KUHUDUMIWA NA PESA YA SERIKALI NA SII VINGINEVYO!

'sasa kama hujui nikwambie huyo JK na wauza unga wenzake sijui maaskofu wachungaji mapadre na bakwata wote lao moja na ndo maana huyo KADHI hatambuliwi na WAISLAM mnamtambua nyinyi na huyo JK wenu,njoo tena'
 
malengo yao hayo hapo.

“Majukumu ya kamati hizo yaliyoainishwa ni kwamba:-
1. kamatiitamhoji muislamu yeyote atakayetaka kuzungumza na Waislamu ndani ya eneo la msikiti na wasiporidhika, watamzuia na kuwasiliana na ofisa usalama wa wilaya.


2.Kamati itamhoji sheikh au imamukutoka msikiti mwingine kabla ya kuruhusiwa kuongea na waumini,

3.pia kamati itapitia hotuba ya sala ya Ijumaa katika msikiti husika kabla imamu hajaisoma kwa waumini.


4.Kamati za ulinzi na usalama ndizo pekee zitakazokuwa na majukumu ya kuomba kibali serikalini kwa ajili ya mikutano yote ya ndani na nje ya Waislamu na mwisho,

5. (watatakiwa kuripoti kwa OCD)aliwaagiza wajumbe wa kikao kuwasilisha taarifa kamili kwa kamati hizo ofisini kwake.

duh hiii kalii
 
Kama huna lengo la kusambaza uajinga, na lengo kuu la kukutana misikitini ni kuhubiriana masuala ya dini kwa nini upate shaka kwamba kamati ya ulinzi itakusemelea utakapoevunja sheria za nchi?

Kwa nini uone shida kusikika unachosema kwenye hiyo misikiti wakati mmeweka hata mavipaza sauti yanayonyima uhuru wa watu kupat usingizi? Leo kulikoni ninyi?

Au hamhitaji usalama kwa kuwa ninyi pia mnajifahamu kwamba hasa ndiyo kundi hatarishi kwa usalama wa nchi na kwamba hadi imefikia hatua ya kuunda kamati za usalama katika sehemu za ibada ili kudhibiti ukorofi wenu? Semeni ukweli mueleweke!

Na nini? Hatueleweki
 
ni wajibu wa serikali kulinda raia wake na mali zao.

inamaana hizo nyumba za ibada ndo zimejengwa leo hapa tz,mbona miaka yote wacweke ulinz?au ndo mbinu zakuwazuia waumin wasiseme yanayo wakela
 
UISLAMU maana yk ni AMANI kwahiyo hauwezi kuita zima moto kama hakuna moto sasa kamati ya ulinzi na usalama za nini? msikitini "
 
Jaribu kuwa Mdadisi Kidogo.Makadhi wameshateuliwa ila Shekh Ponda na Wenzake wanadai hawawatambui kwa sababu wameteuliwa na Shekh Mkuu wa BAKWATA.

Ndugu yangu wanachodai waislam n Mahakama ya Kadh itambulike Kisheria means iwepo ndan ya Katba na c vngnevyo.., ss hyo unayozungumzia ww n kiini macho cha Mahakama ya Kadh na co hyo walokua wanaihtaj Waislam...,
 
inamaana hizo nyumba za ibada ndo zimejengwa leo hapa tz,mbona miaka yote wacweke ulinz?au ndo mbinu zakuwazuia waumin wasiseme yanayo wakela

umeanza vema, ni nyumba za ibada au nyumba za yanayokukera??
mmmh??
 
etieh? ni waislam 2 walindwe au wakristo pia? cjui wasiona dini watalindwa na nan? hv usalama wataifa msikitini hawaendi au ndo serikali haiwaamini?

nyie mlitambua vipi nyumba yenu ya ibada inalindwa?au ni baada ya kuja yule mrundi?
 
Ndugu yangu wanachodai waislam n Mahakama ya Kadh itambulike Kisheria means iwepo ndan ya Katba na c vngnevyo.., ss hyo unayozungumzia ww n kiini macho cha Mahakama ya Kadh na co hyo walokua wanaihtaj Waislam...,

Secularism na kadhi vinaendana kweli?? au ndo unataka kusilimisha mpaka katiba?
 
...mh

ama ndio muundo wa Mahakama ya Kadhi unajaribiwa na serikali kabla hawajaupendekeza kwa Waislamu?

 
Ndugu yangu wanachodai waislam n Mahakama ya Kadh itambulike Kisheria means iwepo ndan ya Katba na c vngnevyo.., ss hyo unayozungumzia ww n kiini macho cha Mahakama ya Kadh na co hyo walokua wanaihtaj Waislam...,

usilishe waislam maneno,kamati ya ulinzi na usalama ni network ya bakwata pekee kwa ajili kuziba midomo waislam.
na kama watu walipanga kumuua mufti ni dalili tosha kuwa watu hawaitaki bakwata na mfumo wake ndani ya uislam.
 
souce ya matatizo yote kwa jamii ya waislam hapa tz ni "BAKWATA" naomba waislam wote popote mnaposoma ujumbe huu (IKATAENI BAKWATA)
 
'sasa wee kama mdadisi na kwa uthibitisho unajua KADHI anateuliwa na nani?,unajua hao masheikh akiwepo sheikh..........nani yupo juu kati yao na KADHI?,unajua KADHI ana mamlaka gani?,ile bakwata ni taasisi ya kidini kama zilivyo taasisi nyingine za kidini,unajua WAISLAM wana taasisi ngapi za kidini?,hata kama ni wao kama taasisi wangekuwa na HAKI ya kumchagua KADHI kwanini wasishirikiane na taasisi nyingine za kidini wakamteua KADHI kwa pamoja ikamteua kadhi wanaomjua wao wakatuletea?,huyo wanamtambua wao na wewe WAISLAM HATUMTAMBUI,nijibu hayo MASWALI wee kama kweli mdadisi..............kwanza hilo jina halifanani na wewe wee ulitakiwa uitwe Farujike tu...'

Umeongea Mambo Mengi ya Msingi kasoro kwenye Nyekundu.Ni bora huu Ushauri ukampa Shekh Ponda na Kundi lake wakiwemo baadhi ya Maprofesa.Mambo ya Kidini yafanywe na Dini husika tu bila kuhusisha Serikali.Namuunga Mkono Shekh Ponda kwa Mambo Mengi sana kasoro ni pale anapolazimisha Dini yake ionekane na kila Mtu kwamba ndio Dini Bora.
 
mkuu padri hua hana hotuba, wanafanya mahubiri na husoma kitu kimoja dunia nzima kwa siku!.
make references juu ya mapadri

Je hayo yanayo somwa Nchi nzima yamekaguliwa na Kamati ya Ulinzi na usalama ya Kijiji/ Mtaa? OCD anajua kinasomwa nini sikuhiyo?

Embu tuoneeni huruma nyinyi Ndugu zetu U-SLAM nchi hii umetekwa MACCM chini ya BAKWATA iliyoundwa na MKRISTO NYERERE.

Kwanini hamna huruma? Hivi Kweli YESU anakubaliana na haya tunayofanyiwa waislam wa Tanzania?
 
Lipumba at work!!

Ila ajabu, ktk barua ndefu kiasi hiki ukatoliki haujatajwa??
 
Totofautishe kuwalinda wakristo Arusha bila kuingilia nini wanaongea na huku kuwafuatilia waislam wanaongea nini kupitia hizo kamati na Kutowalinda kwa ulinzi wa polisi kama ilivyo kwa wakristo.
 
Umeongea Mambo Mengi ya Msingi kasoro kwenye Nyekundu.Ni bora huu Ushauri ukampa Shekh Ponda na Kundi lake wakiwemo baadhi ya Maprofesa.Mambo ya Kidini yafanywe na Dini husika tu bila kuhusisha Serikali.Namuunga Mkono Shekh Ponda kwa Mambo Mengi sana kasoro ni pale anapolazimisha Dini yake ionekane na kila Mtu kwamba ndio Dini Bora.

Tafadhali Toa mfano ni wapi au ni kipi alikifanya au kukitenda kuashiria Dini yake ni Bora kuliko za wengine?
 
Mskiti hautaji ulinzi hata siku moja nyumba ya Mungu

'tatizo kubwa tulilonalo ni mateja tu kuja kuiba ndala kama wanataka waje kutulindia ndala zetu hapo sawa..............lakini sio ndani'
 
Back
Top Bottom