KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,249
- 5,933
Tatizo la Shekh Ponda haelewi anachopigania.Wakati anapinga kamati ya Ulinzi na Usalama Misikitini inayoratibiwa na Serikali,Anataka Mahakama ya Kadhi inayohudumiwa na Serikali.Ponda,Mpe Kaisari yaliyo yake Kaisari na Mungu yaliyo yake Mungu.
'mahakama ya KADHI ina uwezo wa kujihudumia yenyewe na hata waislam wanaweza wakaihudumia wenyewe kama hujui kwa taarifa yako kwenye mchakato wa mahakama ya KADHI serikali ilishaambiwa kama inakataa mahakama ya KADHI kwa kujua kuwa itakuwa iko chini ya serikali ilishaambiwa iwaachie WAISLAM wenyewe na itakuwa iko chini ya WAISLAM na wala HAITATEGEMEA CHOCHOTE kutoka serikalini na bado wauza UNGA wenu wakakataa kuwapa WAISLAM HAKI yao kama sio KUWADHULUMU ni nini,kwa hiyo usiseme SHEIKH PONDA anataka mahakama ya KADHI inayohudumiwa na WAUZA UNGA acha kuropoka mambo usiyoyajua unadandia treni kwa mbele shauri yako utagongwa nyuma...'