Ponda apinga Mpango wa Serikali kuweka ulinzi misikitini

Ponda apinga Mpango wa Serikali kuweka ulinzi misikitini

CCM inatafuta mgogoro tena na dini... Kama wanataka kutulinda sawa, lakin mambo ya kuchaguliana cha kuhubiri NO! NO! NO! Najua ccm wanaogopa kwamba waislam wakiunganisha nguvu watang'oka asubui. Big UP PONDA
 
Daima mfumo kristo ni kuhakikisha waislaam hawapati haki ndani ya nchi yao. kuwawekea ulinzi ni mwendelezo wa kuyatamani machafuko nchini maana waislaam ipo siku watachoka,Bakwata ni tawi la kanisa hivyo daima ni bakwata kuhakikisha inayalinda maagizo ya aki napengo kwa kuwa mufti ni ----- asiejitambua kwa sababu ya maslahi binafsi,ponda waislaam wa nchi nzima wanakutegemea wewe kama mkombozi pekee utakaesimamia ukweli na haki. we ndio kiongozi wetu unaekubalika mijini na vijijini.tumesubiri atakaeleta pua msikitini eti katumwa aje kupanga cha kusema ,hapo ndipo mgogoro utakuwa umefikia apex,Bakwata ya nyerere ibaki na ulatoliki uliowaweka,ponda na mashekh mbaki na waislaam wa Tanzania.
 
CCM inatafuta mgogoro tena na dini... Kama wanataka kutulinda sawa, lakin mambo ya kuchaguliana cha kuhubiri NO! NO! NO! Najua ccm wanaogopa kwamba waislam wakiunganisha nguvu watang'oka asubui. Big UP PONDA

day dreaming. na nyie anzishen 'Muslim Sisterhood', hakuna din yeyote hapa Tz, inayoweza kutoa rais. ni kwa kushirikiana tu na kuweka kando tofauti zetu. Period!
 
Bakwata wameamua kuwasaliti waislaam hadharani kama vile wataishi milele,any way hawana tena wafuasi maana ukweli ushajulikana ma ponda atazidi kukubalika miongoni mwa wapenda haki Tanzania.
 
Waanze kumzuia lowasa,membe ,Sitta na Slaa makanisani kwa kuwapangia maaskofu cha kusema ndio wawapangie waislaa cha kisema. mbona watu wanachiki za kidini kiasi cha kutamani kusiwe na waislaam Tanzania?
 
Naulizaje? hv mwezi mzima mlioshinda na njaa mmeweza kweli kucheza karate zenu??
 
Kuna maofisa wa serikali wengi tuu katika nyumba za Ibada, haikuwa Issue, lakini hili la serikali kuanzisha kamati officially za ulinzi ndilo tatizo. Wanataka kutuletea mambo ya Green Guard misikitini na makanisani kupenyeza UCCM wao

ndo ishara za mwisho mwisho za serikali na chama dola kuanguka, watalazimisha kila kitu ili kupata Legitimacy ya kuongoza.
 
Hv unajua maana ya kuclmisha ww? Na je hyo Mahakama ya Kadh c itadeal na isue za waislam ambao wanaish Tz na wanahak ya kutambuliwa na Katba yao? Au we mwenzangu unaelewaje?

wewe umeshaambiwa hii ni secular state hayo yote ya kupeleka wapi?? Hamia Somalia mkuu uyapate hayo yote.
 
Bakwata wameamua kuwasaliti waislaam hadharani kama vile wataishi milele,any way hawana tena wafuasi maana ukweli ushajulikana ma ponda atazidi kukubalika miongoni mwa wapenda haki Tanzania.

hapo kwenye red, kumbe bakwata nalo ni dhehebu eeeh??
 
sasa kwani kuimarisha ulinzi ni kosa tena, jaman watanzania mbona kila kitu mnalalamika, mbona sisi hapa arusha Kanisa kotoliki siku ya j pil tunalindwa japokuwa kanisa letu liko karibu sana na makao makuu ya polisi, polis hutanda kila kona kukukikisha ibada inamalizika kwa usalama na magari ya waumini yako salama,

Umesoma vzr kweli ww? kuna sehemu kuaandikwa Polisi? au ndo kama wabunge wanaokurupuka usingizini na kuunga mkono hoja!
 
Waanze kumzuia lowasa,membe ,Sitta na Slaa makanisani kwa kuwapangia maaskofu cha kusema ndio wawapangie waislaa cha kisema. mbona watu wanachiki za kidini kiasi cha kutamani kusiwe na waislaam Tanzania?

Waislam hatuwezi wachukia wasiwe Tz. Ni sehemu ya Tz na mtakuwa hapa milele mpaka mwisho wa dunia. Shida kubwa ndugu zangu ni misikiti kugeuka sehemu za siasa na si ibada...... si wasomi kama kina prof. Lipumba..vu si ambao hawajaenda shule... misikiti imegeuzwa sehemu za siasa.... wawalinde tu ili msiendeleze kuwa initiate young muslims ili kujenga taifa moja linalo pendana na kuheshimiana dini zote......
 
Mkuu Mwanahip. Naelewa unavyojisikia kwenye mambo kama haya ila jaribu kupunguza jazba na naamini pia upo ndani ya funga kwahiyo maandishi yanaweza kukuhukumu ndugu yangu.

'wanakera awa mkuu'
 
Last edited by a moderator:
Wengi tumehuzunishwa na kitendo cha BAKWATA kukubali kuunda kamati za Ulinzi wakishirikiana na jeshi la Polisi ili kuwachunguza na kuwadhibiti Waislamu katika sehemu zetu takatifu (Misikiti) huku kamati za ulinzi za Kikatoliki zikipewa mafunzo ya kutumia silaha na jeshi la hilohilo la Polisi!

Baada ya masikitiko sasa ni wakati wa kuangalia kitu gani tufanye ili kukabiliana na changamoto hii.. na hapa ndipo linapokuja pendekezo langu:

Bakwata haiwezi haiwezi kuandaa na kutayarisha "vijana" wa hii kazi bila ya wanaharakati kuelewa hivyo watayarishwe vijana watakaozuga kuwa ni sympathizers wa BAKWATA na zitumike kila mbinu zinazowezekana kuhakikisha kuwa wanachaguliwa na BAKWATA kuingia katika hizi kamati za ulinzi, wakiingia kazi yao kuu itakuwa ni mbili:
a) Kuwapa wrong information.
b) kuripoti na kuwapa wanaharakati yale yote wanayosikia yakipangwa dhidi ya Uislamu na Waislamu.

Hili la pili ni muhimu sana, kupata habari za adui wako si suala dogo.

Kwa namna hii tutakuwa tumeviingilia vyombo viwili kiurahisi! tumesikitika, tumehuzunika sasa ni wakati wa kuchukua hatua!
 
Ponda ni -------- anayetumika kuvuruga nchi na sera zake za kichochezi katika nchi hii!!!!! He is very stupid,, anataka kuleta mambo ambayo hayawezi kutokea katika nchi hii!!!! Njaa inamsumbua
 
Wengi tumehuzunishwa na kitendo cha BAKWATA kukubali kuunda kamati za Ulinzi wakishirikiana na jeshi la Polisi ili kuwachunguza na kuwadhibiti Waislamu katika sehemu zetu takatifu (Misikiti) huku kamati za ulinzi za Kikatoliki zikipewa mafunzo ya kutumia silaha na jeshi la hilohilo la Polisi!

Baada ya masikitiko sasa ni wakati wa kuangalia kitu gani tufanye ili kukabiliana na changamoto hii.. na hapa ndipo linapokuja pendekezo langu:

Bakwata haiwezi haiwezi kuandaa na kutayarisha "vijana" wa hii kazi bila ya wanaharakati kuelewa hivyo watayarishwe vijana watakaozuga kuwa ni sympathizers wa BAKWATA na zitumike kila mbinu zinazowezekana kuhakikisha kuwa wanachaguliwa na BAKWATA kuingia katika hizi kamati za ulinzi, wakiingia kazi yao kuu itakuwa ni mbili:
a) Kuwapa wrong information.
b) kuripoti na kuwapa wanaharakati yale yote wanayosikia yakipangwa dhidi ya Uislamu na Waislamu.

Hili la pili ni muhimu sana, kupata habari za adui wako si suala dogo.

Kwa namna hii tutakuwa tumeviingilia vyombo viwili kiurahisi! tumesikitika, tumehuzunika sasa ni wakati wa kuchukua hatua!

Mawazo yako ni mazuri kaka. Tatizo ni vigezo gani hawa jamaa watavitumia kuwachagua hao vijana. Kuna uwezekano wakachagua kwa vigezo vitakavyohakikisha vijana wakiharakati hawaingii humo.
 
Mawazo yako ni mazuri kaka. Tatizo ni vigezo gani hawa jamaa watavitumia kuwachagua hao vijana. Kuna uwezekano wakachagua kwa vigezo vitakavyohakikisha vijana wakiharakati hawaingii humo.
Si rahisi!
Kumbuka kuwa wengi wa Masheikh wa BAKWATA, Makatibu wa Wilaya, Mikoa, Makarani, waratibu wa BAKWATA ndio hao hao wajomba zetu, kaka zetu, shemeji zetu, jirani zetu, baba wakwe zetu,wengine tumesoma nao madrasah moja kwa Sheikh mmoja n.k

Tunakutana na kukaa nao chini tukazungumza misibani, maharusini au hata kwenye barza za kawaida tu.

Shushu yoyote atakayetoka nje ya jamii ya Waislamu mfano umlete shushu mwenye asili ya sumbawanga katika moja ya misikiti ya Singida mjini basi athari zake ni ndogo sana "hana meno" wala hatishi, kama hivi ndivyo wanavyokusudia basi sina wasiwasi, na nina hakika kuwa wanao mashushu wa namna hii na wanaona kuwa matokeo yake ni hafifu sana ndio maana wanawashirikisha BAKWATA waziwazi hivi sasa ili wawapate watu ndani ya jamii husika ya Waislamu.

Mfano,mtu mmoja alimfuata sheikh mmoja nchini (jina la Sheikh ninalihifadhi) akamwambia kuwa mimi ninataka kusilimu, alipoulizwa sababu zake za kutaka kusilimu akasema amevutiwa sana na Osama na al-qaeda.
Sheikh akamsilimisha na kuanza kumpa daawah kwa siku 4 mfululizo baada ya siku 4 na kuona kuwa hapati anachokitaka yule mtu akakimbia hakuonekana tena!...mashushu wa namna hawana athari zozote wala hawanisumbua kichwa changu!

Wamejileta wenyewe na pesa zao mkononi, hii ni zawadi adhimu na adimu sana kwa wanaharakati ni kujipanga tu.
*Hata hao BAKWATA wenyewe wengine unawaona hivi hivi macho yako yanakuonyesha kuwa huyu anahitaji "a gentle push" tu basi.
 
Back
Top Bottom