Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na utaratibu.
Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu zilizofanyika wiki iliyopita.Amesema ili kurejesha amani na kunusuru nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam aachiliwe huru.
Source:Mwananchi.
cuf mh! Islamism.
haijawahi kutokea chadema wakazungumzia utaifa,wao huwa wanaangalia zaidi uchaga na kanisa.hii mbegu ilipandwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2010 ambapo walikuwa wanawatenga waumini wa kanisa waliokuwa wanaunga mkono ccm mfano sumbawanga
mwache akae ndani kwanza ajue kwamba hawezi kutuchezea watanzania kama anavyodhani, na wewe lipumba kama kweli umetoa kauli hii basi kuupata urais wa tanzania usahau rasmi.Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na utaratibu.
Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu zilizofanyika wiki iliyopita.Amesema ili kurejesha amani na kunusuru nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam aachiliwe huru.
Source:Mwananchi.
Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na utaratibu.
Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu zilizofanyika wiki iliyopita.Amesema ili kurejesha amani na kunusuru nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam aachiliwe huru.
Source:Mwananchi.
Mkuu ningependa NECTA wapitie upya mitihani ya huyu jamaa huenda alipitishwa tu.
Wasingeweza kusema aachiliwe kwa dhamana wakati mahakama imezuia.Sijawahisikia Chadema wakisema mtu aachiwe ikiwa kesi inaendelea.Kama nimesahau naomba nikumbushwe!!!!!Lipumba ni mwanasiasa na kiongozi wa chama halali cha upinzani hivyo ana wajibu wa kumtetea raia yeyote anaekamatwa kinyume cha sheria! baya zaidi ni Serikali kumshikilia mtuhumiwa bila ya kumpa dhamana ambayo ni haki ya mtuhumiwa kwa mujibu wa katiba na utawala wa sheria!
La kushangaza hapa Jamii Forum (the Great thinkers) wanaoshabikia Chadema wanafurahia mtuhumiwa kunyimwa dhamana na ikiwa kiongozi wao Slaa au Mbowe au Lema wakikamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuchochea machafuko basi kinachofuata ni laana na kauli za kuleta vita hutoka mdomoni mwa wafuasina wakereketwa wa chadema!
Chadema ni wanafiki kwa sababu wamemtuma Profesa safari kutoa kauli kwa niaba yao badala ya Katibu wao mkuu slaa au Mwenyekiti wao Mbowe! leo Lipumba anapomtetea Ponda aachiliwe kwa dhamana mnamtukana! Jee kama mnatetea Serikali hii ya Jk ikamate raia wake na kuwanyima haki yao ya dhamana, Chadema ikishika Serikali patakalika kweli!
Chadema kama wanataka kupata ridhaa ya wananchi haina budi kujiepusha na kauli za mashabiki na baadhi ya viongozi wao wanaonyesha chuki zao dhidi ya Uislamu
Useme ya huku S/wanga kama huyajui.
Nini chanzo cha kutenguliwa uchaguzi?Chanzo cha hayo kuanza kanisani?Ukipata majibu ya maswali hayo utaacha kuchangia vitu usivyojua.
Chadema katika lipi?kwa waislamu sheria ndio inatakiwa kufuata mkondo kwa chadema hapana wanaonewa wacheni propaganda za kichaga[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hili jamaa na chama chake si ndio wafadhili wa Radio na imaan na gazeti Al-nuur.
Poor you na ama hawezi kuwa Rais wa Tz may be hii nchi iwe inaongozwa na sharia.
Nasikia ni mgombea wao wa 2015 jimbo la Ubungo. ha ha ha ha ha ha ha ha...kweli CUF ni genge la wahuni.
chadema christianism hapo sawa au unabisha ulivyo mbinafsi
Mara Mia nane, akaoe kwanza ndo atueleze. Prof wa m...vi.pumba fuuuu zake ?
and this is the next president of the united republic of Tanzaniaaaaaaaa.