The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,441
- 12,211
Wengi tunamfahamu pomboo ama dolfin kwa uwezo wake mkubwa wa akili na upendo kwa binadamu.
Licha ya sifa kedekede alizonazo pomboo pia ni mmoja wa viumbe wa baharini wanaopenda sana kujamiiana. Hujamiiana muda mfupi lakini mara nyingi zaidi kuliko kiumbe yeyote yule baharini/mtoni.
Pomboo hufahamika kwa kufanya mapenzi kwa sababu nyingine mbali na kupata watoto, na wakati fulani hujamiiana kwa jinsia moja, baadhi ya pomboo hudiriki hata kujamiiana na pomboo wa spishi nyingine na mara ningine huonesha mapenzi hata kwa wanyama wengine, kujumuisha na binadamu.