POMBOO: Bingwa wa migegedo baharini

POMBOO: Bingwa wa migegedo baharini

Wengi tunamfahamu pomboo ama dolfin kwa uwezo wake mkubwa wa akili na upendo kwa binadamu.

Licha ya sifa kedekede alizonazo pomboo pia ni mmoja wa viumbe wa baharini wanaopenda sana kujamiiana. Hujamiiana muda mfupi lakini mara nyingi zaidi kuliko kiumbe yeyote yule baharini/mtoni.

Pomboo hufahamika kwa kufanya mapenzi kwa sababu nyingine mbali na kupata watoto, na wakati fulani hujamiiana kwa jinsia moja, baadhi ya pomboo hudiriki hata kujamiiana na pomboo wa spishi nyingine na mara ningine huonesha mapenzi hata kwa wanyama wengine, kujumuisha na binadamu.
Weka picha tumjue mkuu!
 
Ili uanaume utimie lazima uweze mfikisha mwanamke kileleni...

Narudia...'mfikisha kileleni'

Ukiona huwezi jitafakari
Kuna mmoja wa dar hapa anasema yaani akuhonge ufaidi hela na ujojoe ,hapana hiyo kazi kawape unaowapenda unaowapaga bure ila huku kudanga ni public mbunye product
 
Screenshot_20180926-013121.png
Screenshot_20180926-013040.png
 
Nimeota nigoogle ukweli haweziingiza dushelele ila anashika shika tu
 
Back
Top Bottom