Tized tatizo wakati umembeba abiria wako ukaanza kuwaza mengine mara uko nae kitandani mara unampapasa mara sijui nini hapo lazima nguvu zikuishie
cc Mndengereko, Excel
Hahahaaaa... kazi zote gegedeshi nilishapumzika kaka. sasa ni kusaka mahela tu.
Mawazo gegedeshi nini nini yameshindwa na kulegea.
Afu miss chagga huyo ujue... sema nlikuja kugundua baadaeeee sana.
Hakunaga kitu kama hicho mkuu Tized hayo mawazo huwa hayaishi sema kichwani kunakuwa na mambo mengi mpaka unasahau kuwa kuna issue kama hizo
Hahahaha aise miss chagga mbona alinitambia ana vogue aise alitoka wapi tena kuja kubebwa na@tized kuvushwa au ulikuwa unampeleka kwenye ndinga yake
Hahhaahaaaa. Ndio changamoto zenyewe kaka.
Hope all is well.
Asante kwa kunisaidia nilijiuliza sana inakuwaje kitu kipya kichanike siku ya kwanza kukiweka mwiliniZa mchina zile fake hu chanika tu hata WKT mtu anavaa usishangae.
Ni kweli kabisa hata mimi nasumbuliwa na tatizo kama lakokuna tatizo ninalo mkuu kwangu sasa sijui ni langu peke yangu au la wote kuna sometimes huwa mentioning za watu zinachelewa kutokea kwenye notification yangu na hata baadhi ya quotes kwa mfano hii ni ya saa 10 na dk 7 lakini mpk saa 11 nilikuwa online na sikuiona nimekuja kuiona sasa hivi
cc : Moderator & Invisible
aisee...
Nashukuru kaka, sema hiki kitumbua ghafla bhana kiliingia mchanga aisee
View attachment 151490
Sema Wasamaria wema waliniokoa.. maaana nguvu ziliniishaje? cc Mndengereko, Excel na utafiti. miss chagga pole sana kwa ajali.
View attachment 151491
ngoja tusubirie mrejesho niliwatag baadhi ya modsbasi just warekebishe
pole mkuu hope mods watakuwa wameyaona haya malalamiko na kuwapa taarifa uongozi wa juuNi kweli kabisa hata mimi nasumbuliwa na tatizo kama lako
mkuu unajaribu kusema nini ina maana Tized hajapata siku nyingi hiyo kitu mpk aiwaze hata akiwa kazini ama??Tized tatizo wakati umembeba abiria wako ukaanza kuwaza mengine mara uko nae kitandani mara unampapasa mara sijui nini hapo lazima nguvu zikuishie
cc Mndengereko, Excel
kumbe mkuu hii picha ya mv kigambaoni kama sio mv magogoni ilikuwa yako duh umekuwa maarufu ghafa imetapakaa kila mahali sasa
nafikiri anakaribia kuvunja record ya kukaa muda mrefu bila ile kitu aise mpaka akiona jinsia tofauti anaruka ruka maana kichupa kimejaa mbaya
Cc Tized
mkuu unajaribu kusema nini ina maana Tized hajapata siku nyingi hiyo kitu mpk aiwaze hata akiwa kazini ama??
Hahahahahah... Kwa mara ya kwanza kashfa inanivunja mbavu. Etiii naruka ruka.. hhahahahahaaaa... ngoja mafuriko yaishe ntamtafura mrembo aliebomolewa nyumba angalau nimuhifadhi kwangu kidogo nimuone kwa ukaribu zaidi aski ipungue.
Sasa mbona uliangusha abioria wako aise kama sio ulikuwa unawaza mambo yetu yaleee
Wameshaanza kurudi mabondeni mkuu hapo andika maumivu tuu na utaendelea kukaa na ugumu wako
Si utelezi kaka?
Haina kwere ntawatokezea huko huko kwa jina la Mfadhili. Najua hutanibania zile slim fits suits zako za kifaransa na kiitaliano nikawekee heshima!
Nikiona wengi tutagawana mkuu. usiogope.