Pombe zinachafua sherehe hasa za Harusi!

Mi kwanza sielewagi kwanini watu wanakunywa jmn,mbona chungu..starehe yake siioni..
 
Unataka watu wazima wafanye toto party, mambo ya juice na soda km nyuki!
 
kuna tatizo ninalo mkuu kwangu sasa sijui ni langu peke yangu au la wote kuna sometimes huwa mentioning za watu zinachelewa kutokea kwenye notification yangu na hata baadhi ya quotes kwa mfano hii ni ya saa 10 na dk 7 lakini mpk saa 11 nilikuwa online na sikuiona nimekuja kuiona sasa hivi

cc : Moderator & Invisible
 
Last edited by a moderator:
Mi kwanza sielewagi kwanini watu wanakunywa jmn,mbona chungu..starehe yake siioni..

hivi kuna kitu kitamu humu duniani kama konyagi na castle lager ..aisee amna embu jaribu uone mamy tamu hiyo
 

mimo notification zinaonekana ukifungua amna kitu zinakuja kuonekana baada ya one hour nikajua ndo mfumo mpya
 
Last edited by a moderator:
Niko salama kaka. nilikua busy kidogo na kazi ya kuvusha watu, nimepata tuhela twa mvinyo. ntakutafuta Mkuu!!

 
Tized tatizo wakati umembeba abiria wako ukaanza kuwaza mengine mara uko nae kitandani mara unampapasa mara sijui nini hapo lazima nguvu zikuishie
cc Mndengereko, Excel
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…