Pombe za bure

Pombe za bure

Duh leo nimekaa nimemis pombe za bure leo weekend watu mnakaje nyumbani tokeni ata njee tu mtembee labda utapata pombe za bure mimi nipo hapa kitambaa cheupe nasubilia 😂
Angalia usije ukapasuliwa yai. Mwanaume unaanzaje kupenda vitu vya bure?
Huo ujasiri unaupata wapi?
 
Ila uwe tayari kukubali kuondoka na mtoa offer. Sio unywe tu halafu uondoke. Mtoa offer akitaka huduma umpatie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom