Pombe siyo chai

Maaskari wetu hawana akili. Huyo jamaa alitakiwa kuwa chini ya ulinzi kwa kiendesha akiwa amelewa.
Ila kwakua kuna harufu ya hela atajizungusha hapo mpaka mwisho.
 
Ashukuru hapo kakutana na askari mstaarabu

Ova
 
Hadi nilihisi naangalia comedy, meku kazingua sana na pombe zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom