askarikambi
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 246
- 263
Mi nimeshindwa kukuelewa, kwanini ulinganishe mwanamke (binadamu) na pombe (kinywaji chenye ulevi) katika uletaji wa maendeleo. Mwanamke kama binadamu mwingine, ana mchango mkubwa katika maendeleo yake na taifa. Pombe, kampuni zinalipa kodi, baa zinalipa kodi ya vileo, na watu kupata ajira. Sasa kama una hiyo maana nyingine, basi chanzo ni wewe mwenyewe!