Kama unataka kulinda uchumi na afya yako acha mambo yafuatayo;

proton pump

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
5,365
6,904
Kwako Intelligent businessman dronedrake

Ewe kijana hasa wa kiume kama unataka kufanikiwa katika maisha yako acha mambo yafuatayo;

Kamwe usifanye ngono zembe. Yaani hata kama umeoa fanya kwa ajili ya kuzaa watoto tu si kwa ajili ya starehe. Ngono hukausha mifupa, ngono huleta uvivu, ngono humaliza uwezo wa kufikiri, ngono huleta magonjwa.

Kwa ambaye hujaoa usichuungulie uchi wa mwanamke kwa njia yoyote ile ile video au halisi. Usigusishe kiungo chako ovyo ovyo kwenye uchi wa wanawake. Wanawake wana mabalaa, mikosi, majini ya ukoo yaani ukikaa vibaya unachukua mikosi ya ukoo na yeye akachukua nyota. Kaulize utanipa majibu hapa.

Usivute bangi, sigara, shisha hulemaza ubongo hivyo uwezo wa kufikiri hupungua.

usibeti utakuja kunishukuru ni hasara na wanaofanikiwa ni wachache sana. Kubeti hudumaza akili pia hukupa uvivu wa kutofanya kazi.

Usifikiri kupitiliza juu ya vitu ambavyo huna uwezo navyo (overthinking) ni hatari pia.

Usijilinganishe, wanadamu tuna bahati na uwezo tofauti na njia tofauti za kutupa kipato. Hivyo usijilinganishe utaumia sana kitu ambacho kitakufanya kukata tamaa.

Usinywe pombe ili kupunguza mawazo, ulevi ukiisha mawazo yapo palepale.

Fanya yafuatayo,
kula mlo kamili kama una uwezo, fanya mazoezi, lala usingizi wa kutosha na usichelewe kuamka, tafuta kazi yoyote halali fanya ili mradi mkono uingie kinywani.
 
Ewe kijana hasa wa kiume kama unataka kufanikiwa katika maisha yako acha mambo yafuatayo...
Asante mleta uzi hapo nilipo weka rangi umenigusa sana na hapo Mimi napazingatia sana japo vijana wenzangu huwa wananiona ni domo zege halafu ninaongea viingereza viingiii na mademu lakini hawajawahi kuniona natoka na demu ghetto.

Ni kweli kabisa Mwanamke kama akili yangu imemkataa siwezi kumtamani kingono japo nitapiga naye sana story na urafiki wa nguvu. Lakini halimashauri ya kichwa changu ni ngumu sana ku authorise ngono.
 
Naam uko sahihi mjumbe, nami naunga hoja.
 
zingatia
 
Wanawake wana mabalaa, mikosi, majini ya ukoo yaani ukikaa vibaya unachukua mikosi ya ukoo na yeye akachukua nyota. Kaulize utanipa majibu hapa.
Kwa muktadha wa imani ipi?

Kwanini wao tu, au na wanaume pia?

Yaani unajing'ata unasema tusifanye ngono zembe, halafu unakuja kusema tusichungulie uchi wa mwanamke?

Ngono zembe kwako ni nini?
 
Back
Top Bottom