Pombe na wanawake chepi ni chanzo cha humasikini?

hey bude i did'nt point ur mum hapa! what am try point its a parson who drinks alcohol to the maximum level Vs a person who ----s our sisters as a daily usage jst becoz has cash. " khubhavuh zako"what does that shit f****k means?can yo explain coz i dnt get it

hawa watoto was Mulugo hawa!?
 
Chepi > kipi
humasikini > umasikini
huludisha > hurudisha
yahaa > ya haya

Nadhani ulikuwa na nia nzuri tu ya kuandika hii mada, jaribu kurekebisha hayo maneno uliyokosea hapo juu. Nina wasiwasi huenda ulikuwa "pombe" wakati unaandika huu waraka.

Asante sana! swahili its a bit problem kwangu on spellings, ni lugha yangu ya 3 kujifunza.oral no problem at the moment, writing mhhhhh not sure but still learning.hope i will succeed
 
swali la kizushi je ni kweli kwamba maskini wote ni watu wanaopenda wanawake?,au wanywaj wa pombe?

nimeuliza over since i have seen and hear most people talking abt alcohol and women who love slope dnt like to work hard and make profits from men who have cash, good time and spending all day n 9t. au hujawahi hona those kind of life same leaves?
 
Kaka, huyo ukimuuliza atakwambia Ana digrii ya Chuo Kikuu, akinyimwa kazi atadai kakosa sababu ya upendeleo. Kumbe hata kuandika hajui, Nina wasiwasi na kusoma na ku hesabu ndio kabisaaa. Atusaidie nini maana ya "CHEPI" labda tunaweza kumsaidia

bude sorry for all dat! hii lugha ya swahili najifunza bado, najitaidi kuifahamu zaidi. if nikisosea on writing a spelling please jst niweke sawa. nashangaa tanzania mtu ajui lugha nyingine kuyiongea anaogopa, dnt know why.so having a degree or masters doesn't mean someone cannot learn other language. negative!
 
Yeah! It is true of what you are saying, lakini hata kufanya proof reading ya paragraph uliyoandika kwako inakuwa shida, and if you think you have a problem of writing Swahili language, why don't you write in English? WaTZ wamebarikiwa kufahamu lugha nyingi sana. We andika uone, utashangaa wanachangia as if umeandika kwa lugha walizozaliwa nazo
 
Am trying to learn this language and what i see now and future am getting much better now.10x for your advise be blessed!
 
Asante sana! swahili its a bit problem kwangu on spellings, ni lugha yangu ya 3 kujifunza.oral no problem at the moment, writing mhhhhh not sure but still learning.hope i will succeed

kwa mtazamo wangu concept nzima ya umasikini inahusiana sababu mbalimbali ambazo ziki-co-exist outcome yake ni kudidimia kwa hali ya uchumi ama kipato binafsi. mfano; mazingira, elimu, kazi, tabia binafsi (pombe kuzidi kipato, na kuhonga mpaka senti ya mwisho-sifa za kijinga), familia na utegemezi, hali ya uchumi wa jamii na nchi kiujumla.

swali la kizushi: ndugu mwandishi, kingereza kwako ni lugha ya ngapi? thanx
 
nimeuliza over since i have seen and hear most people talking abt alcohol and women who love slope dnt like to work hard and make profits from men who have cash, good time and spending all day n 9t. au hujawahi hona those kind of life same leaves?

we jamaa acha kujidhalilisha bwana! umesema kiswahili ni third language hujui vizuri sasa mbona hata hapa ni uharo tu!
 
Umasikini unajiletea mwenyewe;maana wanawake unawafuata mwenyewe then pombe unaifuata mwenyewe baa.
 
Sasa asubuhi yote hii umeshalewa!!! "HUMASIKINI" ndio nini hebu hebu post cheti chako cha form four..!!:thumbdown:
 
Mkuu mleta mada hakika umewakwaza
members wengi sana humu ndani hasa
kichwa cha habari yako pamoja na

Ulichoandika vimejaa sana Ukakasi
yaani kama vile chekechea! Khaaa!
Rejea kwenya andiko lako ufanye
masahihisho vizuri,

oooh mbavu zangu mie
 
Umaskini husababishwa na;
-uvivu
-woga
-matumizi yasiyo na mpangilio ya pesa na raslimali
-magonjwa
-vita
-ajali
-majanga ie ukame,mafuriko,etc
-utawala mbovu
-kuibiwa au kupoteza mali
 
Sasa asubuhi yote hii umeshalewa!!! "HUMASIKINI" ndio nini hebu hebu post cheti chako cha form four..!!:thumbdown:

wangapi wanakunywa mbope saiv na wameacha family home na wanahela.be clean buddy! nenda bar na huone wangapi wanavyeti vyao na wanafanya mambo ya hajabu
 
hey bude i did'nt point ur mum hapa! what am try point its a parson who drinks alcohol to the maximum level Vs a person who ----s our sisters as a daily usage jst becoz has cash. " khubhavuh zako"what does that shit f****k means?can yo explain coz i dnt get it
Is english your second or first language? Labda kwa kuongea!
 
Back
Top Bottom