Ngono ndio chanzo cha umasikini wetu wanaume

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
558
1,952
Wasalaam wakuu!

Mara kadhaa nimesikia watu watu wakiilaumu pombe kama chanzo cha ufukara, mimi nakataa, nasema kuendekeza mayenu ni hatari zaidi ya pombe.

Kwa kifupi hakuna kiungo hatarishi kwa uchumi wa mwanaume kama vipochi manyoya. Sisi watu wa #kataa ndoa na baadhi ya waraibu wa mbunye walioko katika ndoa, tunapambana na visiki katika kuutafuta utelezi, kubali kataa, huo ndio ukweli, na hapa ipo!!

Ili kufanikisha zoezi la kukatiana mayenu na kipochi manyoya kwa mara kwanza gharama kama nauli, pombe, msosi, hoteli, n.k bila kusahau hela ya asante asubuhi lazima vihusike. Na baada ya hapo usipokuwa mjanja, mara nyingi vipochi manyoya hugeuka omba omba na kuanza kulia njaa hovyo hovyo.

Shikamoo uteleziii
 
Umasikini wako usisingizie kipochi manyoya..
 
Mimi mtu bahil sana.
Kuna kitoto kimoja kikali cheupe cha kimeru nikakijaza ndani ya 18 kesho nikakipige miti, kimwanafunzi cha DIT.
Nikapiga hesabu za haraka haraka chumba nauli vinywaji nikaona kama 80k, bado invoice ya huduma. Nikachek mambo mengine ya msingi nikaona mbona hii 80k ina solve fresh tu, nikaghairi.
Yan kutiana tu kuniingize gharama yote hii??
Aaaahhh sio kwel
 
Nikapiga hesabu za haraka haraka chumba nauli vinywaji nikaona kama 80k, bado invoice ya huduma. Nikachek mambo mengine ya msingi ninakona mbona hii 80k ina solve fresh tu, nikaghairi.
Yan kutiana tu kuniingize gharama yote hii??
Aaaahhh sio kwel
Inafikirisha sana starehe ya lisaa kimoja ikuingize gharama za namna hiyo, na hata uipige masaa 5 anatoka anadunda, huku wewe ukibaki unapambana na pakiti za AZUMA mpaka unawehuka
 
Mimi mtu bahil sana.
Kuna kitoto kimoja kikali cheupe cha kimeru nikakijaza ndani ya 18 kesho nikakipige miti, kimwanafunzi cha DIT.
Nikapiga hesabu za haraka haraka chumba nauli vinywaji nikaona kama 80k, bado invoice ya huduma. Nikachek mambo mengine ya msingi nikaona mbona hii 80k ina solve fresh tu, nikaghairi.
Yan kutiana tu kuniingize gharama yote hii??
Aaaahhh sio kwel
Siyo ubahili tu, ni kwamba 80k kwako ni kubwa kwa sababu una kipato kidogo.
 
Wengine kinyume chake sasa, nikiwa sijakula ulabu nakaa home na mamsapu kiroho safi. Sasa shida nikienda premises kukita vitu, mara nimuone aisha ndala ndefu nae miss tz mara nimemnunulia nayeye, mara chakula, mara room mara invoice basi blame it on alcohol na hapa ipo.
 
Mimi mtu bahil sana.
Kuna kitoto kimoja kikali cheupe cha kimeru nikakijaza ndani ya 18 kesho nikakipige miti, kimwanafunzi cha DIT.
Nikapiga hesabu za haraka haraka chumba nauli vinywaji nikaona kama 80k, bado invoice ya huduma. Nikachek mambo mengine ya msingi nikaona mbona hii 80k ina solve fresh tu, nikaghairi.
Yan kutiana tu kuniingize gharama yote hii??
Aaaahhh sio kwel
Mkuu ukaona hataa sio kweli nitakuwa nimevunja sheria kwenye katiba ya Geto
 
Back
Top Bottom