Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Wazaramo naonaga mnavyochezaga mkiwa uchi na zile ngoma zenu za singeli mbele za watoto wenu mnamwaga ladhiMara nyingi nikiwa kikazi Moshi na maeneo jirani ya mkoa wa kilimanjaro , nimekuwa nikiona namna ambavyo watoto wa kichaga namna wanavyokula pombe waziwazi kabisa mchana kweupe, na ni wadogo mno aisee!
Wanagonga bia kila aina mbele ya wazazi ama ndugu zao kirahisi kabisa.
Inauma sana!
Pole sana, wadada wa kichaga wanaongoza kwa kuolewaSio wa kuoa hao
Sisi wachagga ndio utamaduni wetu kunywa pombe sisi wacha haya mambo
Hata Mimi ningekuwa men ningeoa mchaga..potelea pote...Ila wanaume wakichaga kale kaudhaifu sijui kma bado kapo🙈Pole sana, wadada wa kichaga wanaongoza kwa kuolewa
Hazi ni wapi?Yaan mm mwanamke akinywa pombe na mshusha hazi.
Tatizo mnadhani kila anaekunywa anavunja heshima mbele za watuYaan mm mwanamke akinywa pombe na mshusha hazi.
I mean heshima.Hazi ni wapi?