Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,996
- 134,177
ila hiyo posho ilikuwa 40 so alipata hasaraSafi kbs
ila hiyo posho ilikuwa 40 so alipata hasaraSafi kbs
Sasa wanakunywa wao, halafu unaumia wewe. Kiherehere au?Mara nyingi nikiwa kikazi Moshi na maeneo jirani ya mkoa wa Kilimanjaro, nimekuwa nikiona namna ambavyo watoto wa kichaga namna wanavyokula pombe waziwazi kabisa mchana kweupe, na ni wadogo mno aisee!
Wanagonga bia kila aina mbele ya wazazi ama ndugu zao kirahisi kabisa.
Inauma sana!
Tuko busy kutafuta,romantic muende kanda maalum, wanaume wa kichaga hawapo romantic kabisaaa


Hao wakipata pesa za mavuno ya mpunga wanahama nyumbani,anarudi siku zimeisha mfukoni wao ni kula,pombe na wanawakedemi wewe!.. ila tuseme kweli wanajua kuzichanga I lov that spirit( sema hako kauvivu kakutojua kucare Sasa dah)....Sasa men wa kisukuma hataki kukaa mbali na mkewe kisa wivu...sijui mtakula huo wivu?
Haiwezekani ukanywa na ukawa sawa na vile hukunywa( kiheshima). No big no.Tatizo mnadhani kila anaekunywa anavunja heshima mbele za watu
kunywa kwao pombe wewe kuna kuhusu nini...?
maana umbea mwingine hauna maana kwakweli
yani unaacha kuihudumia familia yako kwa kutafuta fedha kwa juhudi unakuja kutuletea umbea wa kitoto hapa.
Sijui heshima ipi unazungumzia,.mana pombe si unakunywa umechill mnakula and stuff ,vurugu za nini?.Haiwezekani ukanywa na ukawa sawa na vile hukunywa( kiheshima). No big no.
Twende tukatest mitambo ☺️Hata Mimi ningekuwa men ningeoa mchaga..potelea pote...Ila wanaume wakichaga kale kaudhaifu sijui kma bado kapo🙈
Mie nimetania tu...naskiaga hampend (hamjui)sex🙊Twende tukatest mitambo ☺
Basi itakuwa mamaangu alichepuka na kabila nyingine 😢Mie nimetania tu...naskiaga hampend (hamjui)sex🙊
Wachagga na pombe ndio mila yao na dini yao mchagga akifungua duka lolote lazima aweke na pombe auze hata akifungua hospital ataweka pombe



Le promo...jisifie mwaya maisha ndo haya hayaBasi itakuwa mamaangu alichepuka na kabila nyingine 😢
Hshhaahaah.....ila hiyo posho ilikuwa 40 so alipata hasara