Pombe na mabinti wa kichaga

Pombe na mabinti wa kichaga

Mi ni mchaga nakunywa pombe dada zangu nao vile vile,wazazi hawakua wakitugombeza bali tu walikua wanashauri tusitumie pombe kali mno,bibi babu walikua wanatupa mbege na busa kuna kipind nikaenda kijiji bibi akanipa mbege nikakataa alikasirika sana coz zamani nilikua naipenda mno. Babu (R.I.P) kafariki kwa kansa ya koo kwasababu ya pombe kali sana alikua anakunywa mpka wakampa jina la iyo pombe(kiseisei)
Dhaaa kisesei ilikua Kali sana kipindi hicho Ila now imeisha cjui ndo kusema kila zama na wakat wake ama nn maana now
Kumejaa pombe zingne nyingi sana my hata hazielewek
 
Nimedoma darasa la kwanza Hadi la Saba, ninavyorudi kula mchana, mama alikuwa ananiwekea chupa ya Ulanzi na chakula. Nakula ugali nashushia na Ulanzi mtogwa narudi Shule. Mara nyingine nakunywa na wa kwenye mtungi pia, kwa mrija.

Sioni Cha ajabu hapo.


😆😆😆! Ulasi
 
Hadi mtu anaitwa mzee wa kiseisei! Huwezi kumtambikia shetani bila pombe. Sasa hao ni wazee wa matambiko, huwezi kutambika bila kuonja maji ya bwana wako ayapendayo. Ndiyo maana huko wokovu hakuna, ukiona mchaga kaokoka anaekti tu!
Crap!!
 
Mara nyingi nikiwa kikazi Moshi na maeneo jirani ya mkoa wa Kilimanjaro, nimekuwa nikiona namna ambavyo watoto wa kichaga namna wanavyokula pombe waziwazi kabisa mchana kweupe, na ni wadogo mno aisee!

Wanagonga bia kila aina mbele ya wazazi ama ndugu zao kirahisi kabisa.

Inauma sana!
mahali 5m
 
Mara nyingi nikiwa kikazi Moshi na maeneo jirani ya mkoa wa Kilimanjaro, nimekuwa nikiona namna ambavyo watoto wa kichaga namna wanavyokula pombe waziwazi kabisa mchana kweupe, na ni wadogo mno aisee!

Wanagonga bia kila aina mbele ya wazazi ama ndugu zao kirahisi kabisa.

Inauma sana!

kinachokuuma ni nini?
Usipende kufuatilia maisha ya watu
 
Back
Top Bottom