Pombe na mabinti wa kichaga

Pombe na mabinti wa kichaga

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
Mara nyingi nikiwa kikazi Moshi na maeneo jirani ya mkoa wa Kilimanjaro, nimekuwa nikiona namna ambavyo watoto wa kichaga namna wanavyokula pombe waziwazi kabisa mchana kweupe, na ni wadogo mno aisee!

Wanagonga bia kila aina mbele ya wazazi ama ndugu zao kirahisi kabisa.

Inauma sana!
 
Akina Manka njooni huku, kuna mjumbe mmoja kawapa kuramoja ya wanywaji bora.
 
Mara nyingi nikiwa kikazi Moshi na maeneo jirani ya mkoa wa kilimanjaro , nimekuwa nikiona namna ambavyo watoto wa kichaga namna wanavyokula pombe waziwazi kabisa mchana kweupe, na ni wadogo mno aisee!

Wanagonga bia kila aina mbele ya wazazi ama ndugu zao kirahisi kabisa.

Inauma sana!
Wazaramo naonaga mnavyochezaga mkiwa uchi na zile ngoma zenu za singeli mbele za watoto wenu mnamwaga ladhi

Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mi ni mchaga nakunywa pombe dada zangu nao vile vile,wazazi hawakua wakitugombeza bali tu walikua wanashauri tusitumie pombe kali mno,bibi babu walikua wanatupa mbege na busa kuna kipind nikaenda kijiji bibi akanipa mbege nikakataa alikasirika sana coz zamani nilikua naipenda mno. Babu (R.I.P) kafariki kwa kansa ya koo kwasababu ya pombe kali sana alikua anakunywa mpka wakampa jina la iyo pombe(kiseisei)
 
Yaan mm mwanamke akinywa pombe na mshusha hazi.
 
Ss unaumia nini?

Watu washazoea...kutoka kwa wazazi
 
Back
Top Bottom