Pombe mwanaharamu

Nilikunywa safari ,nikaingia kwenye paper la form 4,mchana la civics.Nikalala sana,nikaja kuamshwa na msimamizi naota tuko msibani. ...nililia sana ...niliambulia C kwa ile national ( NECTA)
 
Wakuu nnaskia sku izi watu wa dar wana njia flan ya kulewa..
Ety pombe hawanywi kwa mdomo wakuu

Anayejua atuambie wakuu
Ile wanakunywa kupitia kwny mkundu mkuu?

 
Unajua miaka hiyo, shule hizi za O level na A level wanafunzi walikuwa wanakunywa sana pombe sijui siku hizi watoto wako shule na umri mdogo, jamaa yangu alilewa skuli mlango wa bweni akawa hauoni vizuri eti anaona kijimlango cha bweni ni kidogo kama kimlango cha kuku, basi jamaa akawa anainama Hadi akawa anatambaa na kujiminya Ili apite kwenye hicho kijimlango wakati mlango ni mkubwa kabisa hata watu wawili mnaingia kwa pamoja. Basi ilikuwa kituko cha mwaka, ilikuwa pure maji ya mvua lazima udate.
 
EPL niko man city kwa big 6, wale wa chini nawakubali Brighton the seaguls

Kwa La liga Los blancos Β‘Hala madrid
taifa nipo German
Nipo the Gunners Epl, spain nipo madrid ila sio kwa leo 😁😁
 
Hiyo ilikuwa hatari sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…