exaud morrey
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 1,024
- 975
Wakuu nihayotu ninahtaka kijifunza kuhusu pombe Kali je huwa inaharibika? Au inajilinda yenyewe? Na Kama Kuna preservetive Zina tumika naomba mnisaidie wataalam wamambo haya ninajambo langu.
Mkuu,Kila bidhaa inayopita kiwandani huwa ina mwisho wake wa matumizi.
Pombe kali ambazo haina added flavor au rangi huwa haziharibiki milele daima.Whiskey isipofunguliwa inaeza kaa hata miaka 20 bila ku expire
Wine yenye miaka mingi ndio kinywaji cha heshima kwa mabeberu hata bei yake si mchezo.Mkuu,
Nasikia baadhi ya wine zinazidi kuwa nzuri kadiri miaka inavyoenda - ambayo labda ina maana ya hakuna expiry.
So do womenWine yenye miaka mingi ndio kinywaji cha heshima kwa mabeberu hata bei yake si mchezo.
Na sumu nayo inaweza expire?
Ikiexpore inakuwa nini
Women what?So do women
So do women
Wakuu nihayotu ninahtaka kijifunza kuhusu pombe Kali je huwa inaharibika? Au inajilinda yenyewe? Na Kama Kuna preservetive Zina tumika naomba mnisaidie wataalam wamambo haya ninajambo langu.
Mpaka sumu ina expire na haijilindi yenyewe sembuse bidhaa kinywaji!Wakuu nihayotu ninahtaka kijifunza kuhusu pombe Kali je huwa inaharibika? Au inajilinda yenyewe? Na Kama Kuna preservetive Zina tumika naomba mnisaidie wataalam wamambo haya ninajambo langu.