Pombe Kali huwa inaharibika (expire)?

exaud morrey

JF-Expert Member
May 22, 2017
371
250
Wakuu nihayotu ninahtaka kijifunza kuhusu pombe Kali je huwa inaharibika? Au inajilinda yenyewe? Na Kama Kuna preservetive Zina tumika naomba mnisaidie wataalam wamambo haya ninajambo langu.
 

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
7,500
2,000
Whiskey isipofunguliwa inaeza kaa hata miaka 20 bila ku expire
Pombe kali ambazo haina added flavor au rangi huwa haziharibiki milele daima.

Fanya utafiti mdogo; katafute expiry date kwenye konyagi, k-vant au valeur brandy. Hutaipata kamwe.

Ila hizi zenye added flavour kama double kick zinaexpire.
 

Miss Madeko

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
4,206
2,000
Nina pombe kali 2 ziko wazi toka April zinafaa kweli?

JD ni ya juzi Sept hiyo bado najua inafaa
 

tinkanyarwele

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
1,930
2,000
Gongo ile ya kienyeji nadhan inaweza kukaa muda mrefu sana bila kuharibika.... kipindi vita ya Kagera imeanza watu waliacha wameficha gongo kwenye mahandaki....baada ya vita kuisha na miaka kadhaa kupita gongo ilikuwa inakutwa ikiwa safi kabisa
 

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
7,066
2,000
Wakuu nihayotu ninahtaka kijifunza kuhusu pombe Kali je huwa inaharibika? Au inajilinda yenyewe? Na Kama Kuna preservetive Zina tumika naomba mnisaidie wataalam wamambo haya ninajambo langu.
Mpaka sumu ina expire na haijilindi yenyewe sembuse bidhaa kinywaji!

Kila bidhaa ina mwisho wa matumizi .
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom