Pombe inaharibu mahusiano yangu

Wakuu tangu nianze kuishi na huyu bibie amani imepungua ndani kisa ni Mimi kunywa pombe, kabla alijuwa na alikuwa ananiona nakunywa hadi tukaanza kuishi pamoja.

Simtukani, simfanyii fujo, matumizi nampa, every thing nahudumia ila tu akiona nimelamba gambe anamind sana.

Wazoefu wa hizi mambo nifanyeje maana naona kuacha kabisa nimeshindwa nimeshatumia dawa za kienyeji ili kuacha lakini zinagonga mwamba sioni matokeo chanya.

Ni hayo tu wakuu. Nategemea ushauri wenu ninusuru mahusino yangu.
Unadhani ni vingapi havipendi kwako!? Ukiacha pombe, unadhani hakitafuata kingine!? Binafsi, kwa kitu ambacho alikikuta ninacho na akakubali kuishi nami, kukiacha itakuwa ngumu THIS IS FOR THE SAKE OF CONTROL... Hataishia hapo huyo, akitoka kwenye pombe atahamia kwenye KINGINE...
 
Wakuu tangu nianze kuishi na huyu bibie amani imepungua ndani kisa ni Mimi kunywa pombe, kabla alijuwa na alikuwa ananiona nakunywa hadi tukaanza kuishi pamoja.

Simtukani, simfanyii fujo, matumizi nampa, every thing nahudumia ila tu akiona nimelamba gambe anamind sana.

Wazoefu wa hizi mambo nifanyeje maana naona kuacha kabisa nimeshindwa nimeshatumia dawa za kienyeji ili kuacha lakini zinagonga mwamba sioni matokeo chanya.

Ni hayo tu wakuu. Nategemea ushauri wenu ninusuru mahusino yangu.

Tulikuwa na mshkaji kama wewe mlevi sana ila alishaacha baada ya kumvunjia yai bichi kwenye tigo kama mara mbili hivi sasa hataki kusikia kabisa kitu kinachoitwa pombe
 
Kuna Umri ukifika unaachana na na UJANA ili mambo yaende.

Mwanamke wako anakutaka uwe Mwanaume Bora ambaye utakua mfano kwa watoto wako.

Hataki baadae watoto wakuone baba ni chapombe.

Kwa sasa hamna watoto nalabda upo kwa age ya 28-35 huwez ona tatizo.

Subiri ukishagonga 40 , ndo utajua kwann mkeo alikua anakukataza .
mbona wenye 40 wanakunywa na maisha fresh tu hawana tatizo lolote
 
Ohoooo ACHA kujiendekeza, kabla Pombe haijakushinda.

Embu jitahidi kubadilika kwaajili yako. Nayake na watoto wako baadae.

Amini nakuambia, huyo mwanamke wakat ule anakukubalia nisababu alikua hajawa na mawazo yakua Mama wa nyumba ,mama watoto.

Ila kwa sasa amekua nayo.

Lkn pia ngoja nikupe ushauri mdogo tu utanishukuru

Ukiwa umelewa mawazo na K ya mkeo ynakua hayapo, yakiwepo utapiga ili mradi. Ukipiga ilimradi humfikishi popote..

Hamna mlevi wa Pombe mwenye nguvu za kiume.

Embu jitahidi mkuu, achana na mazingira shawishi, naamini unaweza, rejea kwa ushauri wa mkeo.

USHAURI WA MAMA YAKO, NA USHAURI WA MKEO ASILIMIA KUBWA HUWA NI KWAAJILI YA FAIDA YAKO MWENYEWE.
hakuna mlevi wa pombe mwenye nguvu za??? acha kujidanganya kijana uliza vzr wanawake wanayo kutananayo
 
Inategemea unakunywa kwa kiwango gani mkuu, wapo watu wanakunywa mpaka chakari na hawafanyi Fujo yoyote....sasa labda hufanyi fujo ila unaelewa kupitiliza.

Kikubwa kila jambo lifanye kwa kiac na ikiwezekana anza kujifunza Tabia ya kupigia vyombo ukiwa nyumbani, pengine anahisi Unamuibia mechi ukiwa unapiga ulabu Kwenye viwanja.

Ukishindwa yote hayo mfanye awe anapiga ulabu na yeye au wewe uache, maana ili watu watembee pamoja sharti wawe na jambo wamepatana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom