EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,410
- 21,130
Unakuwa kama hauna maamuzi yako kuna mtu anakuamuamulia.Hujaamua kuacha tu.Nimevuta sigara kwa muda mrefu niliacha 2016 ilikuwa ni rahisi sana kuacha niliamua sivuti tena sigara na sikuvuta ukiwa hauna msimamo ndio yanatokea kama hayo yako hukuitaji hata hizo dawa za kienyeji unazozisema.