Pombe inaharibu mahusiano yangu

Pombe inaharibu mahusiano yangu

Anza kwa kupunguza pombe kama ulukuwa unakunywaa bia kumi shuka paka 7 badae njoo 5 badae 3 bada 2 maisho kabisa unaanza kupitisha siku bira kuramba lakini ukiacha gafra siku akikuzinguwa 2 unaenda kupiga shoo kali ya pombe
 
Mwanamke anayekuzuia kunywa pombe hafai mkemee haswaah akizingua ita backup
 
Huna unachokijua,pombe ina
Ohoooo ACHA kujiendekeza, kabla Pombe haijakushinda.


Embu jitahidi kubadilika kwaajili yako. Nayake na watoto wako baadae.


Amini nakuambia, huyo mwanamke wakat ule anakukubalia nisababu alikua hajawa na mawazo yakua Mama wa nyumba ,mama watoto.

Ila kwa sasa amekua nayo.


Lkn pia ngoja nikupe ushauri mdogo tu utanishukuru

Ukiwa umelewa mawazo na K ya mkeo ynakua hayapo, yakiwepo utapiga ili mradi. Ukipiga ilimradi humfikishi popote..

Hamna mlevi wa Pombe mwenye nguvu za kiume.


Embu jitahidi mkuu, achana na mazingira shawishi, naamini unaweza, rejea kwa ushauri wa mkeo.


USHAURI WA MAMA YAKO, NA USHAURI WA MKEO ASILIMIA KUBWA HUWA NI KWAAJILI YA FAIDA YAKO MWENYEWE.
huna unachokijua kuhusu unywaji na si ulevi kwenye kungonoka
 
Huna unachokijua,pombe ina huna unachokijua kuhusu unywaji na si ulevi kwenye kungonoka
Ndugu mimi sijui pombe na majina yake


Nachokijua, kwasiku moja yaan hii ni kiafya
Mwanaume hutakiwi kunywa zaidi ya Mililita 700 pombe za Beer

Na mapombe kama wine hutakiwi zidisha zaidi ya mililita 280 .


Hiyo ni kiafya lkn sio kwamba ndo haikuletei shida.



Sasa wewe unayekunywa beer zaidi ya 5-6 kwa siku???

Utaua Ini, ukiua Ini, umeua Korodani, ukiua Korodani... Jiandae kisaikolojia

Vijana machachari wakuwasaidia tupo tumejaa [emoji23][emoji23]
 
Jidangany
Ndugu mimi sijui pombe na majina yake


Nachokijua, kwasiku moja yaan hii ni kiafya
Mwanaume hutakiwi kunywa zaidi ya Mililita 700 pombe za Beer

Na mapombe kama wine hutakiwi zidisha zaidi ya mililita 280 .


Hiyo ni kiafya lkn sio kwamba ndo haikuletei shida.



Sasa wewe unayekunywa beer zaidi ya 5-6 kwa siku???

Utaua Ini, ukiua Ini, umeua Korodani, ukiua Korodani... Jiandae kisaikolojia

Vijana machachari wakuwasaidia tupo tumejaa [emoji23][emoji23]
Jidanganyee,c tukiwapigia k vant huwa wanataman wapakimbie nyumban kwenda kwa wazaz kwa likizo fup,show kaili sana zinatoka kwa wanywaji na c walevi
 
Unaisingizia pombe mkuu..... wewe ndio chanzo!

ukiacha pombe kunywa utaanza nini???
 
Alafu we jamaa hauna akili, ukiwa unajua inaharibu ni muda wa kuchagua moja mahusiano au pombe, na ikiwa na mahusiano itabidi uache pombe uendlee na ndoa, na kama ni pombe itabd umuache mke wako uend3l33 na pombeee maana akili hauna, utampata mlevi mwenzio, ww watu tunataka wanawake wa kutuzu8a pombe ww unaona sifa....k kweli ww
 
JAMAAA UKIACHANA NA WACHAGA.

WANAWAKE WA MAKABILA YALOBAKI, HAWAPENDI KUA NA MWANAUME
[emoji117]MLEVI WA POMBE.
[emoji117]MVUTA SIGARA.

Alafu sasa, kwann usigeuze ulevi pombe, uuhamishie kwenye mbunye yake ndo kiwe kilevi chako?
kweli asee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom