Pombe imevunja ndoa yangu

Pombe imevunja ndoa yangu

Yaani we mwizi ulienaswa bado unsuspect mwenzio
 
Mimi nilimfumania mke wangu nikamwambia aendelee tuu na huyo mwanaume niliyemfuma naye nipo Dar miaka kadhaa duh namwona mke wangu wanaishi vizuri sana na yule mwanaume japo iliniuma nafurahi jamaa anamtunza kuliko mimi amenenepa kama mbuyu. Bila shaka na wewe utanenepa ila sijajua kama mbuyu au kama sindano.
aiseee kwahiyo mkeo alichagua sehemu Salama zaidi yako..sasa ilikuwaje mpka ukamfumania na ulimfumania wapi ??
then isijekuwa ulikuwa na makando kando mengi mtu wa michepuko isiyoisha idadi then mkeo nae alipouona muelekeo wako kuwa nihuo akaona atafute mtu wakumfariji
 
aiseee kwahiyo mkeo alichagua sehemu Salama zaidi yako..sasa ilikuwaje mpka ukamfumania na ulimfumania wapi ??
then isijekuwa ulikuwa na makando kando mengi michepuko isiyoisha idadi then mkeo nae akaona atafute mtu wakumfariji
Mungu anajua na atahukumu kwa haki mimi sitajibu assuptions zako mungu atajibu ukiweza mwulize Mungu juu ya makando kando au mapungufu yangu atakujibu. Siwezi jitetea binafsi Mungu ndiyo mtetezi wangu.
 
nimeshaomba msamaha huko nyuma kama mara 100....ameshanichoka
dadeq ..muache mtoto wawatu aende tu..bado hujaitambua thamani yake ..nadhani uliharakia kuoa pasipo kujua mantiki yenyewe halisi ya ndoa..mkuu ombo haijawahi kuridhika hata Sikh moja ukiiendekeza lazima itakupatia majuto tu..imagine waweza toka kumla demu mkali sura nzuri tako hilo
lakini akiondoka kisha baàda ya muda mfupi ukikutana na mwanamke mwingine mkali kichwa kinasimama
 
Mlokole anatakaje talaka kisa pombe tu? Kashindwa kukuombea ubadilike?
hahaa maombi mengine hata MUNGU huwa anasusa kuyapokea..ngono kwenye gari kisha unabambwa namkeo...what a shame..!!?
 
Mungu anajua na atahukumu kwa haki mimi sitajibu assuptions zako mungu atajibu ukiweza mwulize Mungu juu ya makando kando au mapungufu yangu atakujibu. Siwezi jitetea binafsi Mungu ndiyo mtetezi wangu.
haya mkuu nimekuelewa ..ngoja nisikukumbushe ya kale
 
Nyinyi ndio mnasababisha watu waione pombe mbaya sasa hapo iliyovunja ndoa yako ni pombe ama nyapu
 
Nimekuwa nikinywa pombe mfululizo, majuzi mke wangu akanifumania mitaa ya Goba nikiwa nagonga nyapu(jirani yetu) kwenye gari akachukua picha kama ushahidi, mimi nikiwa bwaksi kabisa.

Mke kapeleka ushahidi kwa ndugu na jamaa na wazazi, miongoni mwao wamemshauri abwage manyanga.

Sasa amenitolea macho anataka talaka very serious sababu hii siyo mara ya kwanza tuna watoto, mimi nakaa mkoani familia inakaa hapa Dar.

Bado natafakari kuna mtu imeshamtokeage hii wadau mliishiaje?
mwambie unajua kuoa tu,kyacha hujui
 
Mimi nilimfumania mke wangu nikamwambia aendelee tuu na huyo mwanaume niliyemfuma naye nipo Dar miaka kadhaa duh namwona mke wangu wanaishi vizuri sana na yule mwanaume japo iliniuma nafurahi jamaa anamtunza kuliko mimi amenenepa kama mbuyu. Bila shaka na wewe utanenepa ila sijajua kama mbuyu au kama sindano.
Uuuuuwiuuuuii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom