Donald Lema
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 165
- 215
Ukweli, kilichovunja ndoa yako, ni tabia yako ya uzinzi. Pombe saea ni mbaya lakini tatizo ni wewe mwenyewe.ahaa kumbe.....maliza movie yako uje tukushauri la kufanya
Ukweli, kilichovunja ndoa yako, ni tabia yako ya uzinzi. Pombe saea ni mbaya lakini tatizo ni wewe mwenyewe.ahaa kumbe.....maliza movie yako uje tukushauri la kufanya
Huyu ni huyu balozi wetu kule Peking anamaanisha pombe ile ya magogoni.Usiisingizie pombe kwenye ujinga wako, hebu iheshimu aisee
hahhahah..mkuu nimecheka sanaMimi nilimfumania mke wangu nikamwambia aendelee tuu na huyo mwanaume niliyemfuma naye nipo Dar miaka kadhaa duh namwona mke wangu wanaishi vizuri sana na yule mwanaume japo iliniuma nafurahi jamaa anamtunza kuliko mimi amenenepa kama mbuyu. Bila shaka na wewe utanenepa ila sijajua kama mbuyu au kama sindano.
Ukisikia kuna matapeli wa vito kama madini kuna matapeli wa mapenzi pia. Nilitapeliwa pasi kifani.Pole zaid kaka, nahisi ulimpenda mkeo sana, ila hakukupenda.
Furahi sasa kabla siku ya huzuni haijafika kuchukua furaha yako.hahhahah..mkuu nimecheka sana
Ms mol we acha tuuPole zaid kaka, nahisi ulimpenda mkeo sana, ila hakukupenda.
Inasikitisha sana...
Unakua mzembe hivyo...
Oops!umesema unakaa mkoani an siyo Dar, ndiyo maana basi...
Cc: mahondaw