Pombe imevunja ndoa yangu

Pombe imevunja ndoa yangu

Mlokole anatakaje talaka kisa pombe tu? Kashindwa kukuombea ubadilike?
Labda kama sijasoma vizuri ila naona hapo kuna mahali kuandika alikuwa anapiga NYAPU. Naamini hilo ndio tatizo kubwa kuliko hiyo pombe
 
Mimi nilimfumania mke wangu nikamwambia aendelee tuu na huyo mwanaume niliyemfuma naye nipo Dar miaka kadhaa duh namwona mke wangu wanaishi vizuri sana na yule mwanaume japo iliniuma nafurahi jamaa anamtunza kuliko mimi amenenepa kama mbuyu. Bila shaka na wewe utanenepa ila sijajua kama mbuyu au kama sindano.

kama mbuyu au sindano?
 
Acha kusingizia pombe wewe ni nyegere zako ndo zimekuvunjia ndoa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
nzuri hiyo nimeipenda minavyoonekana kuna vitu ulikua unakosea kwa mwenzako kavipta jaribu kujifunza kwa swala hilo

Mimi nilimfumania mke wangu nikamwambia aendelee tuu na huyo mwanaume niliyemfuma naye nipo Dar miaka kadhaa duh namwona mke wangu wanaishi vizuri sana na yule mwanaume japo iliniuma nafurahi jamaa anamtunza kuliko mimi amenenepa kama mbuyu. Bila shaka na wewe utanenepa ila sijajua kama mbuyu au kama sindano.
 
Hahahaaa!! Yaani nikisomaga comment zake naishia kucheka tu.
binafsi huwa namuonea huruma sana sana ! kumbe kunauma namna hyo !alafu bas bora mke apauke km wanavyowish !badala yake mke anang'aa tu ! anachana mby !lazima uumie ! hawez kbs kumove on maskini ya MUngu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom