mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,656
sijawahi kuona madhara yake hadi leo
Mkuu, hata Kama sio kwako.... Ina maana hata kwa jirani hukuona???sijawahi kuona madhara yake hadi leo
Kwani kuna mtu anashkiwa bunduki ili anywe pombe???Allah, tuepushie...
Kwani kuna mtu anashkiwa bunduki ili anywe pombe???
ukianzisha hiyo Rehab unishtue. kuna jamaa kanipa kitabu nimuuzie.Ninafanya online rehab. Kwa wale warahibu wenzangu wa gambe/kilaji/mtungi/kitwanga/mambo/vitu/smart phone/ulabu na majina mengine..ni lazima Tuwe wakweli kuwa pamoja na vifaida vichache vya pombe, madhara ni mengi zaidi.
Kwangu Mimi, imenimalizia pesa, magomvi na watu wa karibu, imeyumbisha ndoa, ajali za Mara kwa Mara, na uzembe usio na msingi.
Kwako wewe mwenzangu, Hebu funguka... Pombe imekuletea madhara gani maishani???
#naachapombe
Duh,... Hicho kitabu kinapatikana wapi??ukianzisha hiyo Rehab unishtue. kuna jamaa kanipa kitabu nimuuzie.
View attachment 388366
mi ninampango wa kuacha pombe na nimekuwa sober for 2months. ila ninadoubt kama ntaweza kuresist ulanzi wa baridi.Nitaacha pombe ila MBEGE siachi sitaki kupoteza asili
Mbeya. ni 3,000+ shipping (nakadiria 3,000). kwa posta au kwa basi.Duh,... Hicho kitabu kinapatikana wapi??
Kiongozi, pombe haiachiki kwa Miezi... Mimi nimeshakaa mbali na pombe kwa zaidi ya mwaka ila.........mi ninampango wa kuacha pombe na nimekuwa sober for 2months. ila ninadoubt kama ntaweza kuresist ulanzi wa baridi.
Mkuu hongera... Mungu akufanikishe.Nina mwaka na miezi mitano tangu nionje tone la pombe na natumaini kuwa sitairudia tena. Kakitambi ka bia ilikoniachia bado napambana nako kishujaa gym na mabarabarani kupiga mbio na naelekea kukatokomeza kabisa. Pombe haina faida!
ndiyo maana nimesema mpango. ila ninahisi kwamba safari hii nitafanikiwa. tatizo langu nililikuta kwenye kitabu hiki.Kiongozi, pombe haiachiki kwa Miezi... Mimi nimeshakaa mbali na pombe kwa zaidi ya mwaka ila.........
Bwashe, Mimi naacha pombe.ndiyo maana nimesema mpango. ila ninahisi kwamba safari ntafanikiwa. tatizo langu nililikuta kwenye kitabu hiki.
2. aina ya pili ya kutawaliwa na pombe ni kushindwa kujizuia. Watu wa aina hii wakishaanza kunywa ni vigumu kuacha mpaka wawe wamezima au wameishiwa hela. Hii inaweza pelekea kusababisha kifo. Sababu kadri unavyokunywa sana ndio unajisahau kwamba unapitiliza kipimo. Watu wengi wa aina hii hufa kutokana na moyo kushindwa kufanya kazi na kushindwa kupumua.
kila la heri mkuu. pombe ukishindwa kucontrol inaharibu quality ya maisha. mi imenishinda, nakunywaga hadi kunakucha. naona njia pekee ni kuacha. chukua na kitabu kukusaidie.Bwashe, Mimi naacha pombe.
Ni vita mkuu. Ilifika wakati napiga bia moja inaitwa Dogfish 90 (abv 9%) mpaka sita namaliza peke yangu. Bia moja inauzwa $3.99. Halafu kila siku lazima nipate. Kuja kugundua suruali zote zinabana na matundu ya mkanda wa kiunoni yanazidi kuongezeka. Mateso ya gym na vumbi la barabarani nikikimbia kama mwehu aisee nimekoma. Yaani mtu unaweza kuchakaa, kunenepeana na kujiletea magonjwa kibao (BP, Diabetes, moyo) kwa sababu za kijinga. Hata Dr. wangu amefurahi sana!Mkuu hongera... Mungu akufanikishe.
inabidi bongo tungeanzisha Alcoholic Anonymous (AA) kupeana mauzoefu ya kushinda pombe.Ni vita mkuu. Ilifika wakati napiga bia moja inaitwa Dogfish 90 (abv 9%) mpaka sita namaliza peke yangu. Bia moja inauzwa $3.99. Halafu kila siku lazima nipate. Kuja kugundua suruali zote zinabana na matundu ya mkanda wa kiunoni yanazidi kuongezeka. Mateso ya gym na vumbi la barabarani nikikimbia kama mwehu aisee nimekoma. Yaani mtu unaweza kuchakaa, kunenepeana na kujiletea magonjwa kibao (BP, Diabetes, moyo) kwa sababu za kijinga. Hata Dr. wangu amefurahi sana!