Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,113
- Thread starter
- #81
Mkuu, utakuwa ulikunywa msema kweli.... Pombe moja hivi inapatikana iringa.Mkuu umenifanya nicheki sababu ilishawahili nitokea baada ya kunywa pombe nilitembea barabara nzima nataja majina ya hao wanawake ila sasa nakunywa kiasi isije nivunjia ndoa