Pombe imekuletea madhara gani maishani mwako?

Pombe imekuletea madhara gani maishani mwako?

Pombe!!!
Imeninya uhuru wa kuongea (freedom of speech)
Imefanya maisha kua magumu
Imeamua kuntawala kila Mahala sasahv
Imemfukuza baba kazi bila kosa
Imenifanya nimeanza kujenga ukuta
 
Pole bwashee,....
Pombe!!!
Imeninya uhuru wa kuongea (freedom of speech)
Imefanya maisha kua magumu
Imeamua kuntawala kila Mahala sasahv
Imemfukuza baba kazi bila kosa
Imenifanya nimeanza kujenga ukuta
 
mi nakulaga bia, zimenipa hasara sana. Ila kuacha imekua ngumu sana
 
Pombe ya kisenge...acha nijilie 'natural herb' tu, kidogo imtoe uhai rafiki yang wa damu kisa madhara yake kwenye figo!!
 
Pombe nimekukosea nini?? Nipo napata lunch nashangaa nimeagiza kili baridiiii bila kupenda...imefunguliwa ndo nashtuka.
 
namshukuru binti mmoja maarufu humu bila yeye mpaka leo ningekuwa mlevi kupindukia. Alihakikisha naacha ulevi na mambo mengine lakini nasikitika kwa kumpoteza kutokana na wivu. Popote ulipo na muda wowote usomapo ujumbe huu tambua my heart still bleeding because of You
 
Dadadeki.....naomba unipm contact zake....hata Kama nimeoa namhitaji anisaidie niache gambe.....litaniua hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom