Hilo ni pepo...Mungu akusamehe kwa kweli...
Hv pepo ni.kitu gan??
Na anapatikana wapi??
Watu wanaenda kanisan kila.siku
But
Wanazini
Wanasema uongo nk
Hapo wanakuwa wamevunja amri kumu za mungu
But ktk amri kumi.za mungu hakuna mungu alipo sema usinywe pombe...
Km papo niambie
Ulevi n.mzizi wa dhambi na sio pombe,
Unapo kuwa unakunywa pombe kila siku na kuzidisha na kusumbua wanao kuzunguka basi unakuwa mlevi...na mwisho wa siku waweza kuuwa mtu.coz ww n.mlevi
Hiyo n.sawa.sawa na.mlafi au.mchoyo..ww unakula.hadi kuvimbiwa na kuanza kuwajambia watu harufu mbaya ktk mkusanyiko wwt nakufanya wasiconcentrate kwa jambo muhimu na kupeleke tatizo baadae..kwa maama hiyo utasema chakula n najisi...la.hashaa
Ni sawa na pombe
Kunywa pombe kwa afya yako
Hata yesu mwenyewe alibadili pombe/mvinyo kuwa damu yake.....kwann hujiulizi hakubadili soda???
Km umesoma hata advance au chuo watu.wanaongoza kudisco n wale wanao jiita walokole au waswala tano..huwez kukuta mlevi kafall my b km anaigiza wajua kwann.....??
Fanya utafiti kwa mijitu yenye IQ za ajabu hii dunia..lazima wanapiga chombo
Ila tazama watu wanao ongoza kujinyonga kwa mawazo,presha,stress nk...n hao hao wanywa novida
Kwa mantiki hii mie nauwakika hata huyo mungu/allah mnae mwamini..km kweli yupo lazima anashtua ngano kimtindo
Tunywee tuu