Pombe ilishakupa kitu gani kama faida?

Sasa mkuu kama haujawahi kuvuta bangi nakushauri ujaribu, utapata faida isiyo na kikomo
Sema pia ukizidisha ina madhara yake mkuu. Bangi in moderation ni the best kuliko hata pombe.

Nilichokuja kujifunza bangi haina kumisbehave, lakini unaweza ukalewa ukamisbehave. Hapo nikagundua "Mkono wa Mungu hauna makosa kama mkono wa binadamu"
 
Habari za wakati huu wakuu, poleni kwa kazi na majukumu yenu ya kila siku. Eeeh bhana ujue nimekuwa nikisia wana wakisema ukitoka kwenda kunywa na marafiki kuna faida kama kupata michongo ya biashara na connections mbali mbali.

Leo mimi kitu nimefaidika nacho kwenye pombe, nimekunywa bia zangu mbili tu kajileta dada wa promosheni ya Bia fulani hivi ..! Bia inatrend sana kule twira, huyu dada bhana si akavutiwa na mastori.

Nimepiga naye stori, sana na nikamuomba mzigo kanipa nimepiga aseee.! Nimeinjoy japo nimelewa mpaka muda huu naandika haya nimelewa. So toka nianze kunywa pombe, hiyo ndio faida naweza isema ..!

Wanywa Pombe oyeeee
faida ya kwanza umepiga mzigo,faida ya pili ukimwi....
 
Hahahaha! Huenda hata mzigo wenyewe unaosema ni ndoto tu, hujala chochote. Pombe ni haramu, acha pombe mkuu.
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom