be unique
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 2,381
- 2,293
Meza Cipro kabla ya kwenda uvinza.
Au nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuu?
Tufafanulie vizuri uenda ikawa faida kwa watu wengi..
Meza Cipro kabla ya kwenda uvinza.
Au nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuu?
Me ilinisaidia kupata ajira ya kudumu,tulikuwa watu km mia 500 usaili wa vitendo huku wakihiijika watu 11 tu.Usaili ulikuwa wa kuendesha chombo fulani nami sikuwa na mchongo na mtu yeyote(connection) nilikuwa 90% ya kukosa confidence kwani niliona km nimekuja kuharibu muda coz siwezi pata,akili ikanituma kukimbilia grocery nikapiga tu-konyagi tuwili chap kabla km dk 10 kupanda chomboni,aisee nilimiliki chombo as if nilikuwa nacho miaka kumi.Anyway majibu yanakuja kutoka mimi ndo all of the best operators tena kwa marks za juu nikiwa na 85% na wa pili akiwa ananifata kwa 60%.
Nina haja ya kumshukuru Mungu lkn pia siwezi kusahau hiyo drink iliyonipa ma confidence ya juu sana.
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Pombe ndo siraha yangu nayoikubali ni zaidi ya icbm.nikiipiga nakua na ujasiri sio wa nchi hii.nlishawahi kuzuia watu wa mtaa wangu kawe kwa zaidi ya dk zaidi ya 40.mpaka polisi jmii wakaja bahati nzuri hawakunikuta walikuja na bakora sio za nchi hii.ningewamudu wana bahati hawakunikuta.rafk zangu wajeda wa lugalo nliokua nakunywa nao walifeli kuuzima moto wa vifuu vya nazi nliokua nmeuwasha. Pia nkilewa hakunaga mwanamke yoyote anaeweza kuchomoa hitaji langu nkimtaka.ha
mkuuu pombe haina faida unaongea nae anajua starehe
Hahahahahahaa dah id yako inasadifu hayoPombe ndo siraha yangu nayoikubali ni zaidi ya icbm.nikiipiga nakua na ujasiri sio wa nchi hii.nlishawahi kuzuia watu wa mtaa wangu kawe kwa zaidi ya dk zaidi ya 40.mpaka polisi jmii wakaja bahati nzuri hawakunikuta walikuja na bakora sio za nchi hii.ningewamudu wana bahati hawakunikuta.rafk zangu wajeda wa lugalo nliokua nakunywa nao walifeli kuuzima moto wa vifuu vya nazi nliokua nmeuwasha. Pia nkilewa hakunaga mwanamke yoyote anaeweza kuchomoa hitaji langu nkimtaka.ha
Ukiinywa kiutratibu inavyotaka INA faida kimwili mkuu,mbona Dawa ya kikoozi coflyin INA alcohol.Kusema ukweli pombe haina faida yoyote kimwili, kiroho, kiuchumi, kiakili na kijamii.
JUZI VP ALIMUONYA MAKONGORO HADHARANI WAKATI WA KUAPISHWA. TAFUTA HOTUBA FUPI YA VP USIKIE KUHUSU POMBE NA UZINZI.
Pombe ya kiwandani au ya Chato ?Habari za wakati huu wakuu, poleni kwa kazi na majukumu yenu ya kila siku. Eeeh bhana ujue nimekuwa nikisia wana wakisema ukitoka kwenda kunywa na marafiki kuna faida kama kupata michongo ya biashara na connections mbali mbali.
Leo mimi kitu nimefaidika nacho kwenye pombe, nimekunywa bia zangu mbili tu kajileta dada wa promosheni ya Bia fulani hivi ..! Bia inatrend sana kule twira, huyu dada bhana si akavutiwa na mastori.
Nimepiga naye stori, sana na nikamuomba mzigo kanipa nimepiga aseee.! Nimeinjoy japo nimelewa mpaka muda huu naandika haya nimelewa. So toka nianze kunywa pombe, hiyo ndio faida naweza isema ..!
Wanywa Pombe oyeeee [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
orgasm
ukilewa kilele kinafikika kwa urahisi na utamu usioelezeka
TheChoji bwn,hahaha,inawezekana ila shida ilikuwa ni mtero wa watu 500/11,halafu kutojuana na mtu yeyote pale ilinitia uoga kwani nilikuwa natetemeka nikiona umati halafu nikawa najiuliza mimi ni nani mpk nipenye hapa?But baada ya kosondeka Lusekelo hali ikabadilika nikawa sina hofu wala kutetemeka,wale Watahini niliwaona km makondakta tu wanaoenda kunipakilia matofali sehemu coz nilikuwa napiga stori nao kama watu wa kawaida.Kilichonishangaza ni kitendo cha kusuma chombo kwa muda mrefu/mwendo mrefu ambapo mimi nilipelekwa km 7kms wakati wengine waliishia moja au mbili na kushushwa so hapo nikajua hawa jamaa wananikomoa ili nifeli,nimerudi nikijua kichwa kimeliwa.Anyway mzee wangu alishawahi kuniambia ukiwa unaenda kwa usaili weka kitu kidogo kichwaniHahaaa... hapo pombe haikukusaidia chochote, we ulikua upo vizuri ulikua hujijui tu [emoji1787]
Ukimwi umesahauHuyo dada wa promoshen huwa anavutiwa na story za wanaume wote sio wew tu. Kama ujatumia ndomu jiandae na u.t.i na mafangasi
So far so good Kama unatumia endelea kutumia na Kama hautumii achana na sisi